Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Hahaha lazima mchukie tu lakini hamna namna. Ukitaka kujua Salah sio diver cheki game yetu na Bournemouth, kuna goli alifunga lakini katika process alifanyiwa foul kiasi kwamba ingekuwa huyo Hazard wenu angejirusha kama aliechomwa mkuki na angeweza kumsababishia mtu red.Refer ile penalty aliyopewa dhidi ya arsenal ..huoni reffaree wa England wanambeba sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado watatengeneza phrases mpaka dictionaries zikauke nanenoHii ni good progress kutoka Mo one season wonder mpaka kuwa Mo-diver.
Anastahili pongezi kwa kweli
Salah anajua mnoo ..lakini penalties zinambeba sana plus marefa wa England..Hahaha lazima mchukie tu lakini hamna namna. Ukitaka kujua Salah sio diver cheki game yetu na Bournemouth, kuna goli alifunga lakini katika process alifanyiwa foul kiasi kwamba ingekuwa huyo Hazard wenu angejirusha kama aliechomwa mkuki na angeweza kumsababishia mtu red.
Lakini Mo alijitahidi kuenda mpaka akafunga goli. Ile incident moja tu ya juzi imeshamfanya amekuwa villian.
Smfh
Salah anamengi ya kujifunza kwa Hazard ...Salah anafunga kwa sababu front nzuri kuliko Chelsea...Mohammed Salah atawaumiza sana vichwa nyie wapiga ramli, mwanzoni mlisema yeye ni one season wonder, akawajibu kwa mvua ya magoli.
Saizi mmeanzisha kihoja cha kujirusha/dive, endeleeni na vihoja vyenu mkijakushtuka May imeshafika anabeba tuzo ya ufungaji bora, VVD uchezaji bora huku Liverpool ikinyanyua kwapa!
Mtaongea yote msimu huuSalah anamengi ya kujifunza kwa Hazard ...Salah anafunga kwa sababu front nzuri kuliko Chelsea...
Lakini hawezi mfikia Hazard kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitaka kusimuliwa namna alivyofunga magoli mawiliHiyo ndiyo Penalty?
Acha unazi chalii, last season Salah hakuwa top scorer EPL? Je alifunga penalties ngapi?Salah anajua mnoo ..lakini penalties zinambeba sana plus marefa wa England..
Sent using Jamii Forums mobile app
Salah anajua mnoo ..lakini penalties zinambeba sana plus marefa wa England..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kumfikia kwenye lipi?Salah anamengi ya kujifunza kwa Hazard ...Salah anafunga kwa sababu front nzuri kuliko Chelsea...
Lakini hawezi mfikia Hazard kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaongea yote msimu huu
Hazard kwanza ajifunze kufunga kutoka kwa king Salah 😂😂😂
Salah anajua mnoo ..lakini penalties zinambeba sana plus marefa wa England..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sasa tuone kama atabeba golden boot. Higuain kashatimba ndani ya nyumba..Acha unazi chalii, last season Salah hakuwa top scorer EPL? Je alifunga penalties ngapi?
Hazard hayupo kwa ajili ya kufunga tu.Mtaongea yote msimu huu
Hazard kwanza ajifunze kufunga kutoka kwa king Salah [emoji23][emoji23][emoji23]
Last season timu nyingi hazikuwa vizuri.Hivi na last season kumbe alibebwa?
Ndiyo! Wote ni Winger
SALAH: Ni Right Winger
HAZARD: Ni Left Winger
SALAH: Huchezeshwa Striker baadhi ya games
HAZARD: Huchezeshwa Striker baadhi ya games
Sasa hoja yako ipo wapi? Bring Facts kwenye thread.
[emoji23][emoji23] kama Hamorata alishindwa Shuwaini ataweza nini?Hahaha sasa tuone kama atabeba golden boot. Higuain kashatimba ndani ya nyumba..
Nadhan unajua wastani wa magoli yake kwa msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard hayupo kwa ajili ya kufunga tu.
Salah sometime anakuwa mchoyo.
Ndo maana anapaswa ajifunze kwa Hazard.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe pia umeanza kumkejeli kocha wetu?umesahau kuwa kocha ndio anajua soccer management kuliko sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sasa tuone kama atabeba golden boot. Higuain kashatimba ndani ya nyumba..
Nadhan unajua wastani wa magoli yake kwa msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app