Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ferguson kaondoka jana?
 
Ferguson kaondoka jana?
Wakati Ferguson anaondoka Liverpool haikuwahi kuwa imara kama ya sisi, ilipitia hatua nyingi za kuyumba..ukiachana na 2013/2014 Liverpool haijawahi kuwa na team ya kupambania ubingwa kama msimu huu ambao wanaonekana angalau wanaweza kupambana na Manchester City

#So far Manchester City inabaki kuwa team iliyokamilika zaidi pale kwa malkia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawachukui, differenc ya point 4 ndo ikupe matumaini hawa wanakuwaga vizuri ila wanapoteana mwishoni
 
Hawachukui, differenc ya point 4 ndo ikupe matumaini hawa wanakuwaga vizuri ila wanapoteana mwishoni
Nafikiri hapa ndio kuna mtego baina ya mashabiki wa Liverpool na mashabiki wa mpira wa miguu Duniani?? Wataangusha points na kumpa City ubingwa au wata maintain na kutwaa ubingwa...hizi ni question mark ambazo watu wamekariri mno....tusubiri na kuona mpambano chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini nyie hamjakamilika?
 
Kwanini nyie hamjakamilika?
Wanatuacha qualitatively kwenye midfield, tunawaacha quantitatively...hili ndilo eneo ambalo Manchester City wapo ahead Liverpool...hata kwenye eneo la ushambuliaji nafikiri watu wa Manchester City wanaiacha Liverpool japo sio kwa kiasi kikubwa sana...mshambuliaji wa kati Salah anafanya vyema japo Khun Aguero anabaki kuwa specialist wa eneo hili

Ndio maana kuna sehemu nikasema ukitaka ubingwa unahitaji bahati pia hata kama una uwezo mzuri na team yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna bahati?
 
LeBron James huwa playoffs zikianza anafunga mitandao yote kuziba kelele.

Na hata wenzake anawaambia wasimsimulie chochote watakachoona kumhusu.

Stable mentality ni muhimu sana kwenye consistency ya mchezaji

Wachezaji wetu wako kwenye pressure kubwa ya kuvunja the so called 'cursed' ya top of the league after Christmas lakini hakuna kombe.

Let them settle kuna watu wanajua kukera mitandaoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…