Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna day before hapa niliongelea kuwa Milner kwa sasa (due to his age) hawezi kuwa ahead of TAA

But nilipata negative responses nyingi sana zikidai kuwa Milner ni miles away better for RB compared to TAA.

Lakini nadhani Game ya juzi imeprove kuhusu umuhimu wa TAA kuwepo kikosini na nano yupo ahead ya mwenzake.

TAA amecheza na against ZAHA kwa misimu MITATU mfululizo na kumzima completely katika mechi zote Home and Away.

Lakini Milner Kucheza na Zaha game moja tu basi kashindwa kufurukuta

Kwahiyo Palace wameprove kuwa TAA ndiye RB wetu bora kwa sasa.

Kabla ya mechi niliandika Milner atakuwa 'out of pace early' kuna mtu akanibishia ila game ilitoa majibu, kuna umri ukifika huwezi endana na kasi ya uwanja
 
Kabla ya mechi niliandika Milner atakuwa 'out of pace early' kuna mtu akanibishia ila game ilitoa majibu, kuna umri ukifika huwezi endana na kasi ya uwanja

Mashabiki wa timu nyengine huwa wanatwambia kuwa Washabiki wa Liverpool wanaishi katika past.

Sasa nimeamini hilo kuwa we've some Fans living in the past.

Kwani wanakumbukumbu ya kuwa Milner alicheza vizuri kwenye LB season ya 2016/17 basi wanaamini kuwa mpaka Leo atakuwa na kiwango kilekile.

Kwahiyo wanahisi akicheza RB ataperform vizuri zaidi kuliko TAA jambo ambalo ni impossible.

Tukumbuke kwamba Age ni inversely proportional na talent ya mchezaji.

Now kumfanya Milner aendane na Pace ya Zaha, Sane, Son, Sterling, Martial, Auba ni kujitafutia death warrant kwa makusudi.

Zaha, Martial na Sane wana zaidi ya misimu 3 game ya Liverpool zinawashinda kwasababu ya TAA.

Kwasasa Millie awe ni Back up ya TAA tu mpaka mwisho wa huu msimu ambapo next season Camacho aandaliwe kuwa ndiye Back up ya TAA.
 
Naona leo kila ninapopita wanamuandama Mo Salah kuhusu ile incident ya ku dive vs Palace.

Kila media wamemwandika yani mpaka kero. Nahisi wanataka kumdistract hawa jamaa sio watu wazuri.

Baada ya kelele zao za "one season wonder" kunyamazishwa sasa wamegeukia suala la ajabu kabisa ambalo mchezaji wao Harry Kane alikua ana dive bila hata kuguswa ana claim penalty na kupewa.

Salah pamoja na kuto claim penalty lakini wanamsakama hatari. I hope he keeps his head focused. Aachane na shombo za wenye wivu.
Mo diver hahahahahaha hilo halina ubishi jamaa ameanza kuwa kituko nowdays

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exclusive: Liverpool look primed to post club football’s first €100m-plus profit

21st January 2019

Liverpool may be about to become the first football club in history to report an annual net profit of more than €100 million.

The Merseyside club are clear at the top of the Premier League in pursuit of their first English top-tier title since 1990. But their financial success has more to do with their transfer dealings, along with last season’s exploit of finishing runner-up in the Champions League

That European run, which saw them lose the final to Real Madrid, earned the Reds €81.3 million. Since the club did not participate in European competition in 2016-17, this should constitute pure top-line growth.

The other big positive should be Philippe Coutinho’s January 2018 transfer to Barcelona. Having spent nearly five years with the club since joining from Internazionale, one would expect the bulk of the fee for the Brazilian – assessed by Transfermarkt at £117 million – to pass direct to the bottom line.

Liverpool also bought a quartet of first-teamers comprising Virgil van Dijk, Mohamed Salah, Alex Oxlade-Chamberlain and Andrew Robertson during the course of its financial year ending 31 May 2018. But one would expect aggregate fees of something like £150 million for these new arrivals to be spread over the length of their respective contracts for accounting purposes.

One can never be quite certain until the accounts arrive at Companies House, which in Liverpool’s case tends to happen in early-March, but my back-of-envelope arithmetic goes like this.

Turnover, which reached £364 million in 2016-17, could soar to more than £450 million, thanks to that Champions League money supplemented by smaller increases in matchday revenue, domestic media payments and perhaps commercial.

However, amortisation and I would think wages – £207.5 million in 2016-17 – would be substantially higher. So operating profit, while likely to be higher than last time’s £6.9 million might not be hugely eye-catching.

Profit on player sales, though, may be enormous – conceivably more than £100 million. While there might be unforeseeable one-off charges, making allowance for interest payments and tax still leaves me with a figure for bottom-line profits in excess of £100 million.

This would surpass Leicester City’s remarkable achievement of posting a pre-tax profit of £92.5 million in 2016-17, a record year for Premier League club finances.

UEFA has actually dropped a heavy hint that the Merseysiders have indeed broken the Foxes’ record. Hidden away in its latest European club benchmarking report is the following sentence: “UEFA Champions League prize money of €82m drove Leicester City FC to the highest net profit in history in FY2017 (€98m), beating the previous record of €78m set by Tottenham Hotspur FC in FY2014 (with Liverpool FC set to break that record again in FY2018).”

It seems the days when clubs had to choose between financial and on-field success are well and truly behind us.
Hongereni kwa hili kwakweli munastahili paun88 m sio mchezo aisee ningekuwa nazo Mimi pale gunnerz ningekushusha huko ulipo....

MPIRA PESA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa timu nyengine huwa wanatwambia kuwa Washabiki wa Liverpool wanaishi katika past.

Sasa nimeamini hilo kuwa we've some Fans leaving in the past.

Kwani wanakumbukumbu ya kuwa Milner alicheza vizuri kwenye LB season ya 2016/17 basi wanaamini kuwa mpaka Leo atakuwa na kiwango kilekile.

Kwahiyo wanahisi akicheza RB ataperform vizuri zaidi kuliko TAA jambo ambalo ni impossible.

Tukumbuke kwamba Age ni inversely proportional na talent ya mchezaji.

Now kumfanya Milner aendane na Pace ya Zaha, Sane, Son, Sterling, Martial, Auba ni kujitafutia death warrant kwa makusudi.

Zaha, Martial na Sane wana zaidi ya misimu 3 game ya Liverpool zinawashinda kwasababu ya TAA.

Kwasasa Millie awe ni Back up ya TAA tu mpaka mwisho wa huu msimu ambapo next season Camacho aandaliwe kuwa ndiye Back up ya TAA.
Acha uwongo wewe huyo Trent si alikuwepo katika mechi ya city na Sane alimburuza atakavyo......UNAJISAHAULISHA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingi na sibishi ila kiukweli jamaa anadive mno siku hizi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ni maoni yako. Nikitetea sana utasema ni unazi.

Ila tuki base kwenye facts ni kuwa simulation ya aina yoyote huwa ina caution (yellow) na Salah tokea amekuja LFC hajakuwa cautioned hata mara moja kwasababu ya simulation.

Hata cautions za kawaida tu katika mechi 72 ni mbili tu. Hizo penalties alizo win ina maana kwa mujibu wa marefa alikuwa fouled, marefa wanajua ndio maana wanapewa dhamana ya kusimamia mchezo.

So Salah is a clean player. Hiyo over reaction ya Palace juzi isiwafanye wehu mkajitoa akili.View attachment 1002000
Screenshot_20190122-142253.jpeg
 
Jamaa wa ajabu sana huyo,Walimsema ni one session star now anawaprove wrong wanaleta maneno ya ajabu ana dive,waja hawaishiwi maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida sana chief, mti wenye matunda ndio ambao hupigwa mawe.

Unafikiri angekuwa 'one season wonder' kama walivyotarajia hata wasingejua kama alianguka kwenye penalt box sana sana wangekuwa wanaandaa makala zao za 'one season wonder' basi.

Sijui msimu ujao watakuja na kauli gani. Probably 'two seasons wonder' (kama ipo)
 
Hahahaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ni maoni yako. Nikitetea sana utasema ni unazi.

Ila tuki base kwenye facts ni kuwa simulation ya aina yoyote huwa ina caution (yellow) na Salah tokea amekuja LFC hajakuwa cautioned hata mara moja kwasababu ya simulation.

Hata cautions za kawaida tu katika mechi 72 ni mbili tu. Hizo penalties alizo win ina maana kwa mujibu wa marefa alikuwa fouled, marefa wanajua ndio maana wanapewa dhamana ya kusimamia mchezo.

So Salah is a clean player. Hiyo over reaction ya Palace juzi isiwafanye wehu mkajitoa akili.View attachment 1002000View attachment 1002001
Sawasawa usije hapa siku ukalia na hawa marefa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom