Hapana mkuu hapo mimi nakataa tunashudia vipaji lukuki vya kibritish mfano mzuri Trent,Trippier,Walker,John stones,Raheem,Kane,Loftus cheek,loss barkley,wilson,rashford,lingard,dele,sancho na wengine lukuki,kikubwa zaidi tumeiona pia timu ya taifa ikifanya vizuri WC mimi naamini vipaji vipo vya kutosha tu,
Na suala la kusema kuwa hawatoki nje ya england ni hoja dhaifu ukizingatia kuwa EPL ni moja ya ligi bora zaidi duniani,sasa ikiwa kina torreira ndoto zao ni kucheza EPL sasa delle aende wapi?hivi mtu utoke katika ligi bora yenye ushindani na kibiashara zaidi alafu uende wapi?kikubwa ninachokiona thamani ya wachezaji wa kiingereza ipo juu kulinganisha na wengine so kumtoa mwingereza umpeleke seria A au league 1 ni ngumu aisee...acheni kuchukia british players
TALENTED players ni wachezaji ambao wana natural gifted ability ya kucheza foot-ball, players ambao hawaugopi mpira, players ambao wanauwezo wa kustep-up uwanjani na kuleta matokeo pale Kocha anapokuwa ameshaishiwa ideas.
Kuna players ambao siyo natural gifted footballers na wamepata mafanikio makubwa sana kwenye mpira na kuna players ambao ni natural talented footballers na hawajapata mafanikio yeyote kwenye mpira.
in British countries, most family put their children in football academies/schools wanapofikisha miaka 6 (mostly) na kuendelea, they learn about footie wakiwa kwenye hizi academies, hence most English footballers set-up zao huwa zinaanzia academy, hii ni tofauti sana kwa Nchi kama Brazil/France and even Spain ambapo most academies zinatoka kwenda kutafuta rare talents in the streets, most of biggest Brazil players were found kwenye mitaa na their mother clubs or academies, which is ni tofauti sana na England/Britain ambapo unakuta jiji la LFC lina set-ups si chini ya 50, ambapo Parents huwa wanapeleka watoto zao kwasababu Agents wadogo wadogo huwa wanatembelea hizi set-ups, na wakiridhishwa na mchezaji husika huwa wanaanza kuwatembeza kwenye big club academies, contrary to Brazil/France/Spain ambapo most of the time scouts huwa wanatumwa mitaani, hence hizi nchi zinakuwa zinatoa remarkable talents kila kukicha.
over the last 20-30 years British ilifanikiwa ku-produce a lot of Top talents, ambazo zilimanage kwenda toe to toe na some of European greatest footballers, you talking about talents kama Shearer/Barnes/Wright/Fowler/McManaman/Scholes/Gerrard/Lampard/Ferdnand/Terry/Owen/Campbell/Ashley Cole/Andy Cole/Wayne Rooney etc, these players could start in every team around Europe, England's new generation have good talents kama Kane/Sterling/Dele/Rashford/Sancho, these are the only players ambao Clubs like Madrid/Barca/Bayern/PSG/Juve w'd be interested in, and ni only players ambao Klopp/Pep and other big coach in EPL w'd pay big money for them, and if you think Loftus Cheek, Barkely, Wilson etc are natural talents then this tells a lot about English footie.
Hao kina Barkely/Walker/Rose/Wilson/Cheek unaosema ni talents, wont survive in other countries, Kane can go to Madrid and shine because he's a serious talent, you wont see average english players ambao wanakuwa hyped kwenye medias kila siku, wanataka kwenda kujaribu kucheza mpira Spain or France, because they know jinsi walivyokuwa limited kiuwezo.
this narration that England did well in the WC is a myth, Iceland did so well in the last euros. judging teams and players based on a 6-8 games competitions is a school-boy excuse.
and if you think English players arent dreaming of playing for clubs like Madrid/Barca etc then you're so wrong, and bad enough you're very very wrong if you think Torreira a south latin born in Uruguay grew up with a dream of playing for Arsenal and largely in English Premier League.