Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
with Crystal at Anfiled t goona give a u horserace, i dont know how bt Crysto always come live in this ground.Didnt watch the game today
heard the gammon head got a red card
how was Naby? shit at LW again? i mean why paying 50m for a CM and play him as a left winger?
heard Fabinho got injured? any news?
wanasema winning "ugly" yaani hata ukiwa hucheza kwa hio formula pointi unajikusanyia, na hio ni sifa ya timu inayosaka ubingwa maana siku hazifanani mkuu.Upepo upp kwenu wakuu maana mnapiga magoli hayana hata fomula watu wanaingia mpaka kwenye nyavu bahatibahati tu dahhhh
All in all huyu ZAHA ni hatari sana jana mmenusurika ktk tundu la sindano
Nimekubaliwanasema winning "ugly" yaani hata ukiwa hucheza kwa hio formula pointi unajikusanyia, na hio ni sifa ya timu inayosaka ubingwa maana siku hazifanani mkuu.
kazi inaedelea vipoa sana.
YNWA
Endelea kuota na kujenga ghorofa usingizini.Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Ndugu yangu kipigo cha city kilikupoteza na hatimaye umerudi hahaha kufungwa sio kuzuri hasa kwa fekelo
We ongea tu Dully. Kupotea haimaanishi kukimbia kwan ningeshakimbia miaka yote hiyo ambayo tumeenda miaka mitupu trophiless. Huwa nakuwa hapa kiangazi ama masika. Na pia hata tukishinda naweza nisiwapo, fuatilia tu. Ila nikiwapo utajua tu.Ndugu yangu kipigo cha city kilikupoteza na hatimaye umerudi hahaha kufungwa sio kuzuri hasa kwa fekelo
Nilishawaeleza kitambo sana sometimes ukiona umetoka kuvuta bange kaa utulie moshi ukiisha kichwani ndo uje upost, lakini hamuelewi tuHahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Utakuwa upo ktk siku zako naamini maana si kwa mkurupuko huo,Nilishawaeleza kitambo sana sometimes ukiona umetoka kuvuta bange kaa utulie moshi ukiisha kichwani ndo uje upost, lakini hamuelewi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaacha kupambana na timu yako ambayo mnapigwa na gar la mkaa km arsenali unakuja kutupigia ramli kwa taarifa yako tu gomez, arnod na wijnederm wote watakuwa available next game vs LeicesterHahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Halisi mwenzio si anasema Clopp hakosei?jiulize sasa kama mshabiki kulaumu kitu kama hicho ni kuchukia team?Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Mimi sio mshabiki wa Liverpool, lakini ndugu zangu huo mwendo mnao enda nao mnanitisha sana,msimu uliopita mechi kama ya Jana mlikuwa mnapoteza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamujamuelewa vizuri mwana LIVERPOOL NGULI Malafyale sio kwamba Jk hakosei ila kwa hapa hakuna anayejua zaidi ya JK na huo ndio ukweli, matatizo ya Keita,hendo,fabinho,lovren n.k yeye anayajua zaidi kuliko wewe uliye huko malamba mawili umeshashiba chai na mihogo unakuja hapa kusema KLOPP hafai wakati yeye anakuwa na wachezaji ana kwa ana akijua strength na weakness zao...its kind of UPUUZIHalisi mwenzio si anasema Clopp hakosei?jiulize sasa kama mshabiki kulaumu kitu kama hicho ni kuchukia team?
Mnapigwa hii game ya leicester hifadhi kichwani hii postMkuu unaacha kupambana na timu yako ambayo mnapigwa na gar la mkaa km arsenali unakuja kutupigia ramli kwa taarifa yako tu gomez, arnod na wijnederm wote watakuwa available next game vs Leicester
Sent using Jamii Forums mobile app
Keita mlicheza kamari tu hakuna kitu apo.He's not a flop but kila siku zinavyozidi kwenda Klopp ana-fail kumanage Keita's confidence issues
wont be suprised if he will turn out to be a flop at this rate..
he's the most natural gifted talented footballer in our squad, i dont know why we wasted 50m on him, kama hii ishu ikiendelea his Agent should try to move him on, haina maana ya kuwa kwenye club ambayo Kocha hakuamini
kama nilivyosema kwa Faby, players huwa wana adopt kwenye new system kwa kuwachezesha mara kwa mara, siyo kuwaweka bench.
Please don't remind meGuys do you remember this day. Ulikua wapi? Siku hii mimi nilikua Sinza Meeda, nilipata temporary paralysis sikuweza kuondoka mpaka after a few hours hata beer nilizokuwa nimekunywa sikusikia stim yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Japo matumaini yalishafifia katika ile game ya Chelsea ila hapa ndio kabisa jamaa walipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza letu.View attachment 999521View attachment 999523View attachment 999524
Sasa mbona umeponda kwa kumtoa Clyne akimtegemea yule mzee?Hamujamuelewa vizuri mwana LIVERPOOL NGULI Malafyale sio kwamba Jk hakosei ila kwa hapa hakuna anayejua zaidi ya JK na huo ndio ukweli, matatizo ya Keita,hendo,fabinho,lovren n.k yeye anayajua zaidi kuliko wewe uliye huko malamba mawili umeshashiba chai na mihogo unakuja hapa kusema KLOPP hafai wakati yeye anakuwa na wachezaji ana kwa ana akijua strength na weakness zao...its kind of UPUUZI
Mbaya zaidi timu ikipata +results munakuja hapa na mapambio ya harusi,but ikiwa kinyume chake munakuja na nyimbo za matusi kwa kocha na british players especially lecapitain HENDO ila jana kafanya poa sijaona fekelo yeyote anayenyanyua mdomo wake kumsifia.......fekelo acheni unafki
Lovren ni jembe la kaziSasa mbona umeponda kwa kumtoa Clyne akimtegemea yule mzee?
Anajua zaidi ni kununua mchezaji zaidi ya milion 50 aje kumpanga nnje ya nafasi yake?anajua zaidi anataka ubingwa anamtoa mchezaji mzoefu amtegemee kinda?
Anajua zaidi ni kumtoa Origi aliemfikisha fainal kwa mkopo na kumtegemea Solanke?
Tutoe ushabiki Matip na Lovlen nani kamzidi mwenzie?