Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Manure hao ukiwaangalia wanapata matokeo.ila wana udhaifu, njoo alhamic uone kipigo ninachowapa kwenye FA CUP niwaoneshe kuwa manyua ni wale wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Guys do you remember this day. Ulikua wapi? Siku hii mimi nilikua Sinza Meeda, nilipata temporary paralysis sikuweza kuondoka mpaka after a few hours hata beer nilizokuwa nimekunywa sikusikia stim yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Japo matumaini yalishafifia katika ile game ya Chelsea ila hapa ndio kabisa jamaa walipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza letu.View attachment 999521View attachment 999523View attachment 999524
Sikuona fault ya kocha ule msimu, BR alijitahidi sana asee maana kwanza bado hakuwa na mda mrefu kwenye management at a top club.Baada ya kufungwa na Chelsea, sikuangalia game yoyote.
Maana nilimmind kocha balaa.
Dah... i was a liverpool myself wengine walikua chelsea na man utd dah... nilinata mwili akili na roho... nikajiambiaGuys do you remember this day. Ulikua wapi? Siku hii mimi nilikua Sinza Meeda, nilipata temporary paralysis sikuweza kuondoka mpaka after a few hours hata beer nilizokuwa nimekunywa sikusikia stim yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Japo matumaini yalishafifia katika ile game ya Chelsea ila hapa ndio kabisa jamaa walipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza letu.View attachment 999521View attachment 999523View attachment 999524
Sikuona fault ya kocha ule msimu, BR alijitahidi sana asee maana kwanza bado hakuwa na mda mrefu kwenye management at a top club.
Ndio maana hata baada ya kuondoka LFC aliathirika pyschologically.
Couldn't agree less, el pistolero is my best striker to ever witness at LFCPeople still underrating that GUNMAN
most complete CF to ever played for LFC
Kuna kitu kinaitwa arrogance, alikua na tripple S ina Sterling, Suarez and Sturridge. Goals were coming so he did not care about conceding two and scoring four or five or even six.Mimi ile game ndo niliona kocha siyo Champion material.
Ile mechi tulihitaji only 1 point ili kuendelea kuwa juu, Chelsea walikuja na mentality ya kulinda, sisi tukawa tunashambulia timu yote inaenda mbele.
Kocha mwingine angefanya sawa na wao, cheza counter kwa kutafuta point 1 tu, game zilizokuwa zimebaki zilikuwa ni nyepesi kushinda.
wewe ndio mbishi sasa maana sielewi umenielewesha niniUsipende ubishi unapoeleweshwa vitu kijana...
Couldn't agree less, el pistolero is my best striker to ever witness at LFC
Mkuu umemuona Keita vipi mtazamo wakoPeople still underrating that GUNMAN
most complete CF to ever played for LFC
Yeah man, not el nino, el pistolero. ESuarez?
Mkuu umemuona Keita vipi mtazamo wako
Yeap Jimbo got a red, he was unlucky to be defending against a top notch Zaha. Naby started but was quiet most of the time. He was played out of position though (as always).Didnt watch the game today
heard the gammon head got a red card
how was Naby? shit at LW again? i mean why paying 50m for a CM and play him as a left winger?
heard Fabinho got injured? any news?
Yeah man, not el nino, el pistolero. E
El Nino was amazing but Suarez offered more to the team play than goals. He was a monster on the pitch, he did not like to lose games.
A few unpro things might cloud all that but put it aside, he's one of the best
Yeap Jimbo got a red, he was unlucky to be defending against a top notch Zaha. Naby started but was quiet most of the time. He was played out of position though (as always).
I don't think Fab's injury is a major concern, it was only a knock and given we have nearly ten days off he will surely be available when we get back to business.
Henderson made a 'make shift' man of the match performance today. [emoji23]
He was a top striker too. But given the needs of the morden game where the team attack and defend as a unit, Suarez will always be my man.Said on here that Suarez is the 3rd most talented ST of all time
but Torres was ruthless in-front of goal, SG played with Torres and Suarez katika teams mbili tofauti zilizokaribia kuchukua EPL, but ukimuuliza atakwambia he enjoyed playing with Torres more..
Torres had everything pia, pace, dribbling, passing, shooting technique, positioning, behind-runs etc
Nipo ,nilibanwa nilikuwa na majukumu ya kupresent project, final yr,Upo?
Habari za siku nyingi ndugu yangu...
He was a top striker too. But given the needs of the morden game where the team attack and defend as a unit, Suarez will always be my man.