Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Soka ni burudani kwa sisi watazamaji na wafuatiliaji na ni kazi pia kwa wachezaji na wachambuzi pia,sasa kila mmoja anaweza kuangalia soka lakini sio wote wanaoweza kuchambua sasa usilazimishe wote walichambue soka acha wengine ibaki kuwa burudani kwao,ila kutokana na kushindwa kwao kuchambua usiitumie fursa hiyo adhimu kuwadanganya wewe chambua soka na wengine watakuchambua wewe kitokana na uliyoyaona kitaalamu.....na hapo ndipo utamu wa soka nje ya uwanja unapokuja
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› πŸ˜€
 
even hata akija Timo, we'll still need players like Origi kwenye squad, players ambao wanaweza kutokea bench na kufanya chochote

i dont think kama Klopp atapenda kumuuza Origi but can see him and his father forcing a move
well said Mkuu hana mpango wa kuuza, hopefully the he can resurrect his career, so far this Jan Klopp was looking for loaning him again before sellin Solanke.
 
well said Mkuu hana mpango wa kuuza, hopefully the he can resurrect his career, so far this Jan Klopp was looking for loaning him again before sellin Solanke.

lets see kitu ambacho Brewster ataleta kwenye team

Klopp seems to rate Brewster highly, maybe anaweza akampa nafasi ya Origi moja kwa moja

but inategemeana na kiwango cha Brewster and issue ya Origi's father ku-force a move
 
lets see kitu ambacho Brewster ataleta kwenye team

Klopp seems to rate Brewster highly, maybe anaweza akampa nafasi ya Origi moja kwa moja

but inategemeana na kiwango cha Brewster and issue ya Origi's father ku-force a move
Rhian akisharudisha makali yake baada ya majeraha ya muda anatakiwa awashe moto aliokua nao kabla ya jeraha, ndogo kipaji kipo sasa ni namna ya kumuingiza kwenye kikosi cha kwanza....

pia management na matarajio has to be managed, bianfsi ningependa hii jan kama amepona kabisa aodoke kwa mkopo apate game time zaidi ili awe sawa kwa msimu mpya 2019-2020
 
Official: 5 years contract for Andy Robertson

Deserved.
VVD longterm, Mane longterm, Firmino longterm, Fabihno long term, Allison longterm, Robbi long term, Keita longterm, Rhian long term, Wiliison long term,

mazuri yanaedelea kufanyika Anfield, nice for Robby to extend this shows we are heading in th right direction

Hendo gues shortterm, Lallan short term, Daniel short term, Moreno short term, Milner short term n.k
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka sana Mkuu

 
Kama uki iona post yangu fanya hivyo

Kama hutaki quotation yangu nenda anzisha ur damn thread uone kama ntakuja!Hapa nina uhuru wa ku quote kwa yyt yule ikiwemo nyie Liverpool feki na kakundi kako uchwara!
Kwa nn msitutolee hapa kiwingu chenu kwa kwenda kuanzisha sred yenu huko muitukane team mtakavyo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…