Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Harry Kane majeruh.

Ni wakati muhafaka wa King Salah kutetea Golden boot yake, katika mechi hizi 5 mbele yetu ambazo sio tight sana, anatakiwa atoke na goli kuanzia 6.


Hapa atakuwa establish gap kubwa dhidi ya Kane.
 
Maajabu sana hapa kwa kweli!
Mtu yupo kwake Bunda huko eti anajaribu kumfundisha kazi Klopp
Yaani Klopp hakuyaona yote haya hadi akampeleka Clyne kwa mkopo eti wewe upo kwako Kisarawe ndiyo umeyaona!
Kuna watu wanachekesha mno ktk dunia hii jamani!
Klopp anajua nani abaki nani auzwe nani akopeshwe kuliko mtu yyt hapa
Hili suala ndilo linalonishangazaga sana mkuu,
 
Harry Kane majeruh.

Ni wakati muhafaka wa King Salah kutetea Golden boot yake, katika mechi hizi 5 mbele yetu ambazo sio tight sana, anatakiwa atoke na goli kuanzia 6.


Hapa atakuwa establish gap kubwa dhidi ya Kane.
Auba atamuwashia moto ambao hatosahau
 
Acha kujipendekeza kwa wanaume wenzio. Hujulikani hata timu unayoshabikia ni ipi, umekomaa kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio tena umevaa nusu uchi huku unalalakima humpendi.

Nenda unakopenda.
acha umama mzee unafikir matusi ni sifa ama acha ulimbukeni mzee hao kwani wewe ndo wa kwanza kushabikia liverpool wakati mwingine ustaarbu ni jambo jema kama unahisi unaumia chomoa usiniletee shobo dundo zako mzee,by the way mm ni shetani mwekundu hapa mbaya wenu ninayewabomoa na kuwajenga.
 
Harry Kane majeruh.

Ni wakati muhafaka wa King Salah kutetea Golden boot yake, katika mechi hizi 5 mbele yetu ambazo sio tight sana, anatakiwa atoke na goli kuanzia 6.


Hapa atakuwa establish gap kubwa dhidi ya Kane.

Umemsahau Auba? Never underestimate Auba bro he is more complete striker than anyone in EPL including Harry Kane.

I guess he will be a top scorer this season unless Mo Salah proved me wrong
 
Umemsahau Auba? Never underestimate Auba bro he is more complete striker than anyone in EPL including Harry Kane.

I guess he will be a top scorer this season unless Mo Salah proved me wrong
Auba is a clinical finisher ... The best in the world

But Liverpool has the machinery to support Salah score more
 
This platform is becoming a meme kila siku zinavyozidi kwenda mbele, nowdays imekuwa ni place ya depressed and self-obsessed individuals kushare their laughable thoughts kwenye vitu ambavyo hawana uelewa navyo and letting their depressed feelings and life get in the way kwenye mambo yanayohitaji logical reasoning..

Ferguson joined United in 1986, stayed there for 27 years bila kwenda club nyingine, joined the club when he was 45, and it took him years mpaka kushinda his first league title, and went on to be the greatest manager to ever manage a football team, but kuna kitu ambacho hakizungumziwi kuhusu Fergie, mafanikio haya yote aliyapata akiwa United, alikuwa ana uwezo wa kuondoka na kwenda kuji-challenge kwenye clubs zingine, but hakuondoka and this issue haitoi wala kuficha the fact kuwa he's the GREATEST MANAGER OF ALL TIME, kwasababu he revolutionized Manchester United, English Football. produced WC players and most of all ended completely LFC dominance in English football, and led Utd kufikia kuwa the biggest Club in England, alipata mafanikio yote haya akiwa na Club moja, you talking about the richest Club in the world, some w'd say kuwa alijificha kwenye mwamvuli wa United, but mafanikio aliyoyapata at United yanaonekana, he created a Legacy that will live forever, any reasonable football fan in the world ana-appriciate alichofanya Fergie kwenye dunia ya mpira, he succeeded at United so you'd be stupid to critize his decision kubakia United mpaka alipositahafu.

Now, at 37, Pep Guardiola joined Barca in 2008, and immediately sold Ronaldinho and Deco (Word class players), promoted Busquests, Pedro, everybody started to ask questions about these decisions, but he went on to win TREBLE in his first season at Barca akiwa na miaka 37, at 37 Fegie alikuwa hajui hata kama atakuja kuwa kocha wa United, but Pep won treble at that age, and went on to revolutionize style of play in football world, he made Messi tunayemuona sasa, he improved Xavi and Iniesta massively, he made Busquests a world beater, bought Alves and turned him into one of the greatest Full-backs in the world, turned a united reject Pique into a world class CB, and went on to assemble the most decorated football team of all time, toyed with Fergie team in UCL final 2011, camera showed Fergie alivyokuwa anatetemeka mikono because he couldnt believe kuwa a 40 year olds man with only 3 years at barca as a manager was schooling him infront of the whole world,

now, unataka kocha kama huyu atoke Barca aende kufundisha Cardiff City? au Fergie angeachana na United na kwenda kufundisha Fulham?, you think Klopp baada ya mafanikio aliyopata Dortmund angetoka pale na kwenda kufundisha tena Mainz au Augsburg au Koln? he came to LFC because ni bigger club na valuable club kuliko hata Bayern, yes LFC were struggling when he took over but you'd be stupid kufikiria kuwa angeenda kufundisha Everton or Spurs over a struggling LFC, because all he wanted was to coach one of elite clubs in Europe and LFC is one of them, Wenger and Mourinho are jobless now but utakuwa kichaa kama unadhani these two manager watakubali kuchukua kazi za kufundisha bournemouth, huddersfield, Brighton etc because CVs zao haziwaruhusu kufundisha teams kama hizo.

Football ime-evolve a lot, in these modern times you cant win titles without spending big in the market, LFC are now leading the league because of VVD and Allison, one costed 75m na mwingine 66m, utakuwa ,mjinga sana kufikiria kuwa LFC ingekuwa inaongoza league now over City with the likes of Mignolet/Matip/Lovren at the back. na utakuwa mjinga zaidi kufikiria kuwa Klopp angeifikisha LFC hapa ilipo na kile kikosi alichorithi kwenye msimu wake wa kwanza, he had to invest a lot of money ndiyo maana leo hii tuna-compete, Club ime-spend more than pounds 390m tangu Klopp aje, Coutinho fee ingeweza kutumiwa kwenye issues zingine but yote iliingizwa kwenye manunuzi,

and if you spend big on shit players, you will fail pia, in the last 4-5 years United went big on Di Maria/Falcao/MK etc and zote zikawa ni failed projects because walinunua bila kuzingatia uhitaji wa manager na system, Klopp alianza kufanya vibaya in his last days at Dortmund because kina Zorc walianza kununua wachezaji ambao walikuwa hawafit kwenye tactical demands za kocha, Pep was once asked kwanini anafanikiwa sana kwenye ufundishaji wake akasema "because he buys quality over quantity" and top manager works with top class players, huwezi kumuajiri Pep ambaye kafundisha kina Puyol/Pique/Boateng etc na ukampa afanye kazi na Sol Bamba, he's the world Class coach so he deserves world class players, mpe Klopp Cardiff City/Huddersfield/Bournemouth/Newcastle etc na hakuna kipya chochote atakachofanya, World class manager mwenye huge CV kama Benitez anastruggle na Newcastle, kocha gani duniani ambaye anaweza kushinda titles na wachezaji kama Matt richie, Hayden, Diame, Atsu etc, mtu anakwambia mpe Pep cardiff city tumuone atafanyaye, mjinga gani atamu-offer decorated coach kama Pep kazi ya kufundisha Cardiff City?

These are kinda fans ambao wanamuita Mourinho a nothing manager because OGS ameshinda mechi 5 mfululizo.
Point after point after point. I love this.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comments nyingi naona watu wana-prefer Faby over Milner kisa alicheza vizuri CB so why not RB lakini kwakua Klopp hupenda ku-prove watu wrong (I bet Milner to RB) ila asipande kupiga cross he'll be out of pace early



Tukivuka kipindi hiki cha majeruhi salama the race is over hata kama city naona wasipopoteza .... The multi-universe & universe will be red
"He will be out of pace early"
Milner uyo? Ivi humuonagi anavyokimbia pale kati kma mwendawazimu au? Yule babu anapiga kazi na ataweza kukava the RB position bila utata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom