Its our time matenaona jamaa wakiliona kombe la EPL msimu huu hapo kwenye picha wanakua motivated...nimeipenda hio picha na hizo motivating cups,kweli msimu huu linakuja kabisa Anfield
Inonyeaha haamini kama atalibeba keaha mhisi mapungufu anahisi tutayumba tu na atakaa yeye juu.Pep Guardiola: "If Liverpool win then I will congratulate Jurgen Klopp because it will be well deserved. All we can do is win our games. We cannot control what Liverpool do. All we can do is be there until the end."
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna binadam anakuambia Clopp hakosei yeye anajua zaidi.
Hapo unasema makosa yeshatokea tugange yajayo sijui nani anahusika na makosa hayo? msaada kwa tuta mkuu
Sijawahi kuku Quote mkuu tafadhali sana mkuu jibu tu bila kuni QuoteRB
TA
Gomez
Milner
Fabihno
Milner na Fabihno ni wazima kabisa!
Klopp anajua kuliko WOTE hapa,ku question uamuzi wake wkt hatujui kitu ni mshangao sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hujaelewa ulichojibu,jamaa kasema kuwa pep ni kocha bora kuliko wote kwa sasa ,mimi ndio nikauliza kampita nini zizzou?sijazungumzia liverpool hapo mkuuHajawah kubeba makombe ya ligi 18, sisi tunayo tayar.
Hajawah kubeba UEFA 5, sisi tunazo tayar kabatini. This is Liverpool.
Hahahaaaaaaa....hatari sanaSijawahi kuku Quote mkuu tafadhali sana mkuu jibu tu bila kuni Quote
Me tooI DONT LIKE LIVERPOOL
tuko pamoja mkuuMe too
ShikamoooNaamini sababu ya kucheka ni kwamba hujafahamu kilichokusudiwa, wala hujataka kuuliza.
Hakukusudia in term of Kipaji! Bali kakususudia in term of kurithi Ucaptain kwani TAA ndiye Scouser peke Yake anayepata Namba katika kikosi kizima cha Liverpool.
Scouser wa mwisho kuwa Captain ni Gerrard, Lakini waliofata Kuvaa Armband baada ya Gerrard ambao ni Henderson, Mignolet, Milner, Coutinho, Can, VVD wote sio Scousers.
Kwahiyo Scouser anayefata kuwa mrithi wa Gerrard (Kwenye Ucaptain) ni TAA.
I DONT LIKE LIVERPOOL
Vipi kuhusu uzoefu?
Hahaha, as if it has made a marriage proposal to you!
Naogopa kusema malalamiko yangu about Clyne lakin nawaogopa Liverpool Halisi.