Ni kweli PEP ni kocha mzuri pia alikua mchezaji mzuri lakini ukiangalia career yake amefundisha timu ambazo tayali zinamatokeo chanya kutokana na vikosi alivyobahatika kufundisha. angalia City tangu ipate tajiri karibu kila kocha alifanikiwa kuchukua EPL maana yake sijaona maajabu ya kufanya awe very special tofauti na wengine, anabahati ya kufundisha timu nzuri pekeeKlopp ni moja ya makocha wazuri sana ila huweza mfananisha na pep interm of success tu.
profile ya pep ni mbali sana na klopp.Pep amechukua makombe karibu yote aliyoshiriki.
pep sio Mungu mtu kama wengi mfikirivyo yule jamaa anajua mpira ni ku-win cups ndipo utawachwa watu midomoni mwao wakikuzungumza.
Angali kocha kama Sarri mpira mzuri mafanikio hamna lkn anaweza kuibuka mtu akakuambia Sarri ni mzuri kuliko Unai ambae unai ana uefa europe 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiendelea hivi Manager of the Month inamuhusuHe is the only unbeaten Coach in EPL this season.
Jamaa wanamsifia saana bila kuangalia timu alizofundisha PEP zilikua au zipo katika kiwango gani. mpeni Cardiff City kisha mje na takwimu za ubora wake hapo. sometimes ubora unatokana na wachezaji ulionao. Kwangu Mimi ni kocha mzuri sawa na wengine wakubwa kama Jose, Klop, Mancin, Zidane, Sarry e.t.cni bora kuliko wote duniani?ok
naomba nielimishe amempiku nini zidane? nimeuliza tu naomba nijibiwe kwa fact.
Halafu we jamaa ndo una mpampu sana huyo jamaaHaihitaji kwenda darasani kujua malafyale amemaanisha nini ktk ujumbe wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanamsifia saana bila kuangalia timu alizofundisha PEP zilikua au zipo katika kiwango gani. mpeni Cardiff City kisha mje na takwimu za ubora wake hapo. sometimes ubora unatokana na wachezaji ulionao. Kwangu Mimi ni kocha mzuri sawa na wengine wakubwa kama Jose, Klop, Mancin, Zidane, Sarry e.t.c
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja nyepesi kaka ubora umemfikisha alipo kwa nini hili tunakwepa?Jamaa wanamsifia saana bila kuangalia timu alizofundisha PEP zilikua au zipo katika kiwango gani. mpeni Cardiff City kisha mje na takwimu za ubora wake hapo. sometimes ubora unatokana na wachezaji ulionao. Kwangu Mimi ni kocha mzuri sawa na wengine wakubwa kama Jose, Klop, Mancin, Zidane, Sarry e.t.c
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewa mkuu upo sahihiungebakia kuwa msomaji tu kama wenzako wengine, watu wasingeona pumba kama hizi ulizoandika.
na siyo kila mtu lazima awe shabiki wa mpira, kuna michezo/sanaa kibao ambazo unaweza kushabikia na zikakufichia uwezo mdogo wa kufikiria ulionao.
Sawa hoja yangu nyepesi PEP ni kocha mzuri sina ubishi na hilo ila kuonesha mafanikio kwa sehemu alizofundisha ni sawa na kustaajabu kunyesha mvua kipindi cha masika.Hoja nyepesi kaka ubora umemfikisha alipo kwa nini hili tunakwepa?
Mbona kocha tofauti wameshindwa kuchukua world cup na wachezaji wazuri?
where are the psg with there huge investment kwenye mashindano ya ulaya?
Kwa mantiki ya hoja yako messi na ronaldo hawastahili Tuzo za dunia kwa sababu walikua na watu wazuri waliomzunguka?
man city lini kachukua ligi na point 100 kabla ya pep?
Man city hii hii ya pep iliifunga barcelona 3-1 yenye Messi Iniesta Neymar Suarez busquet ambaye wengi husema ndio ubora wa pep (messi).
Nimalizie kwa kusema ili ukae uko kwa walio bora unapaswa kua bora...
We need to credit pep mwenye trophies more than 22 in 10 and half years.
Sio tunamuabudu tunakubali mafanikio yake.
but i trust in Klopp akitulia na Michael Edward atakua among lfc legend manager to be remembered... kwanza as first manager to win EPL for us.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuquote mara ya mwisho.Sawa hoja yangu nyepesi PEP ni kocha mzuri sina ubishi na hilo ila kuonesha mafanikio kwa sehemu alizofundisha ni sawa na kustaajabu kunyesha mvua kipindi cha masika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kocha mzuri hilo halina ubishiNa kuquote mara ya mwisho.
1.Unakubali pep mzuri ila una maana sio mzuri sababu alipita timu kubwa.
2.umeamua kwako pep sio kocha mzuri.
Wangapi walikua na hao kina messi wameshindwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimamo wa Ligi baada Ya Ole Gunnar kuja UnitedView attachment 994774
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimamo wa Ligi baada Ya Ole Gunnar kuja UnitedView attachment 994774
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu baadae akawa kilaza! Where you are and where you are going matters than the history, because you can't change the historyMtoto atajua baba yake alikuwa JEMBE haswa enzi zake...
Jamaa wanaongoza ligi na mwezi wa nne mwishoni wanatangaza ubingwa rasmi ha ha ha ha ha ha.....Watu mnajua kujifariji kinoma, wewe mtu unazidiwa a massive sixteen points...halafu eti unakuja na POROJO za since OGS.
Okay, basi hongereni mnaongoza ligi...
FABINHO aendelea kumdestroy the most useless and Fake Captain in Football History.......
All News from Liverpool Echo:
1) Proof that shows when Fabinho starts Liverpool are a much better side
2) Fabinho is undroppable, but Keita needs to find Reds form fast
3) Fabinho and VVD hailed as Liverpool re-establish seven-point lead (Before Man City v/s Woleves game)