Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Ukitaka kuamini ALLISON anabebwa na Beki ya Liverpool basi muangalie DE GEA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Burnley ! Na alianzisha hapo hapo counter attack ambayo Salah alifunga.
Burnley ! Na alianzisha hapo hapo counter attack ambayo Salah alifunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wengine wana comment tu ili nao waonekane.
Daah...alirusha kwa Sturidge.....akampasia Salah, naye akam'miminia Shagiri .Alifunga Shaqiri ila Salah ndio alietoa assist
thanks mkuu,hyo game ckuiangaliagaBurnley ! Na alianzisha hapo hapo counter attack ambayo Salah alifunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaitwa Loyal "Halisi" huwezi muelewa jamaa kama sio loyal kwa team anapokwambia klop anajua nini cha kufanya kuliko nyinyi usipomuelewa utakua na shida tu. but kikubwa ni kuwa mashabiki wengi hawawezi ku control hisia na kuwa wavumilivu. mahali popote conservatives wapo big up malafyale
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu akili zao bana, eti tumekuwa na timu hapa ikisuasua sua nk.
Hivi nyie jamaa maisha ni hapa JF tu! Kwa hiyo ushabiki wa mtu unaanzia siku uliyojiunga JF?
Gooners need this guy otherwise futuhi tenaaaanaona Levron mwaka huu analo. yeye na kapiteni fantastiko wetu huu ni mwaka wa mapito makubwa kwao..... kwa jinsi vichinjio vinavyonolewa sijui kama hawa 2 watapenya kwenye dirisha kubwa!
View attachment 994089
whateva th outcome of todays match we must continue to maintain this 4 points gap at whateva cost b t benching Henderson til th end of th season etc...Tottenham Hotspur's wameshatolewa kwenye reli, bado Man City tu.
Seven points hapa mpaka mechi yao ikiisha ndiyo tutajua itakuwaje...
King Salah ni habari nyingine kabisa...Hazard akipoteaga kufunga anapotea kabisaa ni kama vile kashaamua June anaodoka Los Blonco