The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Ndio ndio Malafyale ..wewe ndio Liverpool HALISI bwana. uyo Mungu-mtu wao Pep Wanaomwogopa hawa Liverpool UCHWARA watabaki na aibu maana Wewe LIVERPOOL HALISI una uhakika wa kunyanyua kwapa msimu huu..SPURS rasmi wametoka ktk mbio za ubingwa
Bado Mungu-mtu wenu ,asiyefungika PEP lkn nae ataachia tu!!
Huyu ndiyo Klopp,the German machine.
View attachment 993552
Kama hivi au?
Ha ha haaa hamna mchezaji mwenye udambwi kama huyu pale.Eeeh Baba mwenyez hebu fungua macho huyu mjeruman mwenye kiburi aweze kuona thamani na lulu kubwa uliyoiweka ndani ya kijana huyu.
Inferiority Complex kitaalam wanaiitaDepression kaka, kuna watu raha yao ni kupenda kuchokoza watu ili tu uibuke ugomvi, na mkikaa kimya atakuchokoza yeye halafu atasema wewe ndo umemchokoza.
Naona watu wamemtenga sasa kila muda inabidi atupie single zake.
Sema kapata kampani ya Liverpool HALISI mwenzake DullyJr, featuring yao inanoga sana.
Tulipiga degea bao 3Ukitaka kuamini ALLISON anabebwa na Beki ya Liverpool basi muangalie DE GEA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs tuliwala tatuHiv kipa wenu yule leo angepigwa ngapi? Shukuruni mlijikuna kuna kila upande mkampata huyo beki mnayeringa naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Very trueUkitukana wachezaji na Klopp team ikifungwa PIA usishangilie team ikishinda!
Mzozo wangu na Liverpool feki unaanzia hapo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Very true
Hiv kipa wenu yule leo angepigwa ngapi? Shukuruni mlijikuna kuna kila upande mkampata huyo beki mnayeringa naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ikifungwa au ikishinda tunachojua Henderson na Lovren ni vyoo vya Mabua tu.
Ova
NINGE, ANGE ni maneno yanayotuwa na wapumbavu au washindwajiHiv kipa wenu yule leo angepigwa ngapi? Shukuruni mlijikuna kuna kila upande mkampata huyo beki mnayeringa naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ikifungwa au ikishinda tunachojua Henderson na Lovren ni vyoo vya Mabua tu.
Ova
Hapa walisahau kumbeba !Ukitaka kuamini ALLISON anabebwa na Beki ya Liverpool basi muangalie DE GEA..
Sent using Jamii Forums mobile app