Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
ni kupambana mkuu mpaka mei, mpaka sasa Mancty ndio timu pekee yenye kikosi kipana kupita vipindi vya majeraha au kadi...
hata hivyo tutakwenda nao mpaka mwisho, naamini nao kuna mechi watapoteza kama sisi hivyo ni kujitahidi kutoachwa mbali na ikiwezekana hizi pointi nne tukomae gepu ibaki hivyo hivyo...
Wapi?!? Majukumu tu chifu...
Hahahaaa... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]This is Liverpool! I can't wait weekend pale tutakapoenda kuuwa hivi vitoto brighton.
Epl yetu wakuu, Tusahau ndondo cup FA tuwaachie wazee wa midtable Man u, chelsea, arsenal.
Sisi EPl ni yetu bila kusahau na CL.
Mimi nasema it's coming HOME...!
Number 19 in the year 2019.
Wakuu anzeni kuprint T-shirt. Nitawaungisha hata mimi.mtaisoma namba linakuja hayo kuliiba hayatuhusu...
2018-2019 EPL bingwa mtarajiwa ni Liverpool
mtapata kwikwi sana tu ikifika Mei, ushauri wangu mapema mkumbali yaishe maana kelele za humu hazitazuia sis kulichukua...
YNWA
Full and the most expensive squad Paris Saint-Germain (PSG) were knocked out of the Coupe de la ligue by the League 1 deep bottom side Guingamp.Umenyweshwa uji wa ndele na Klapp wewe!
EPL sio Bundesliga hata Mkhitaryan alikuwa best player kule lakini anastruggle kwenye EPLInalaumiwa humu kuwa hata kocha wetu kachangia sana kumflopisha Naby Keita kwa kumweka/kumchezesha eneo ambalo sio lake. Nakuambia Arthur , Vidal na hata Rakitic na unaweza shangaa lakini nakumbuka stats za Keita alipokuwa RB Leipzig alikuwa anafika goli 8 au 9 kama sikosei
Ila hiyo ya Performance umesema kweli jamaa Bado hajaDeliver kama tulivyotegemea
bwana wee seeing is believing, wataliona linatua kwa majogoo hivi hivi na ramli zao hazizuii...Mimi nasema it's coming HOME...!
Number 19 in the year 2019.
Usicheze mbali mkuu tshati ni muhimu tumelisubiri kwa hamu mno
Sawa. Kuna mwezi wa 1,2,3&4. Kufika watano sisi wengine tutakuwa tunamalizia balance sheet ibalance. Mnanitisha mnaofanya mahesabu mchana kweupe.Usicheze mbali mkuu tshati ni muhimu tumelisubiri kwa hamu mno
nimeona Man City jana usiku walichezesha very strong first 11 vs a League One opposition.I said this before kuwa Liverpool hatuna Depth hata kidogo! But kuna baadhi ya Fans wakachallenge my words kuwa We have enough depth ya kuweza kufight kwenye all fronts (FA, CL, EPL and Carabao.
Nilichogundua hapa Kuba misunderstanding kwenye hili neno "Depth" ..
Kuna wanaohesabu Depth in terms of Quantity, na tunaohesabu Depth in terms of Quality players kwenye Bench.
That is why watu wakiwaangalia kina Lallana, Moreno, Sturridge, Origi, Lovren, Mignolet, Solanke kuwa ni Depth while the truth ni kwamba you can't count them as a depth isipokuwa ni squad players wanaoongeza quantity ya wachezaji tu.
The one and only depth in our team is Xhaqiri.
Sawa. Kuna mwezi wa 1,2,3&4. Kufika watano sisi wengine tutakuwa tunamalizia balance sheet ibalance. Mnanitisha mnaofanya mahesabu mchana kweupe.
Kila la kheri kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Du huyo Pep ndio usisema anavyotupiga vijebe ni noma aisee yaaani jamaa kageuka kua JM kwa vijembe....nimeona Man City jana usiku walichezesha very strong first 11 vs a League One opposition.
sisi tumechezesha 2nd tier vs an EPL opposition.
this is nothing but madness. tukimaliza msimu trophyless tujilaumu wenyewe.
Utakuwa mwaka wa 5 sasa, kwa nini rogers alifukuzwa?
Mkuu tetesi nyingi pasua aisee...Wasee hakuna tetesi yoyote kwenye usajili?
Tunahitaji beki aisee, hawa gonjwa gonjwa watatuvusha kweli!
Maana najua round ya pili timu zitatukamia hasa, we need to play every game like it's final. Squad strengthening should be a priority.
Baada ya juzian City kishinda 7, na hii nyingine kapiga mtu 9 tuna kila sababu ya kuongeza beki moja ya nguvu ili kuzilinda hizi 4 points.
acha kufananisha hao viungo uliowataja hapo na naby keita aiseeee utafungwa,naby keita ameachwa mbali sana na yule madson wa leicesterInalaumiwa humu kuwa hata kocha wetu kachangia sana kumflopisha Naby Keita kwa kumweka/kumchezesha eneo ambalo sio lake. Nakuambia Arthur , Vidal na hata Rakitic na unaweza shangaa lakini nakumbuka stats za Keita alipokuwa RB Leipzig alikuwa anafika goli 8 au 9 kama sikosei
Ila hiyo ya Performance umesema kweli jamaa Bado hajaDeliver kama tulivyotegemea