Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
nonsense!Wolves timu ngumu sana pia mashindano ni mengi lazima rotation
Hivi nyie mnaamini mnatimu ngumu sana epl? Mbona mnaakili za kijinga kiasi hicho hamjafikia hata nusu ya chama la pep ambae msimu uliopita alipigwa na wigannonsense!
Hii FA isijetumalizia wachezaji coz naona imeshaanza kwa Lovren
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah nonsense kwelikwelinonsense!
Ni sahihi hatuna timu B ndio nashangaa kiburi cha jk kumuacha Grujic...hawa watoto wanarukaruka tuNilichogundua leo ni kuwa Liverpool tuna kikosi cha kwanza tu na hatuna kikosi B
Kwahiyo waliotuaminisha kuwa Liverpool tuna depth ni waongo
Hivi nyie mnaamini mnatimu ngumu sana epl? Mbona mnaakili za kijinga kiasi hicho hamjafikia hata nusu ya chama la pep ambae msimu uliopita alipigwa na wigan
Timu ngumu hamjaifunga hata moja chelsea kakutoa karabao na ulinusurika kupigwa kwake shukran kwa sturidge haya city kachukua point 4 kwakononsense!
Mmedanganyika nyieHahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah nonsense kwelikweli
Milner lol
This comedy club man
you're right!!Timu ngumu hamjaifunga hata moja chelsea kakutoa karabao na ulinusurika kupigwa kwake shukran kwa sturidge haya city kachukua point 4 kwako
Mlidanganywa na vimech vya man united na arsenal wazaifu
Ukija uefa hujashinda hata mech moja ugenini hata red star umeshindwa kumfunga mmewahi kujiuliza?
Huyo wolves mgumu sana kishakutanguliza
Kazi kulaum kocha tu
Kabisa mkuu tukiacha ushabik pep epl ana kikosi kipana sana timu zingine bado sanaHii ni kweli nikitazama ni kweli LFC hatujamfikia Pep kwa ubora wa Winger au Kiungo au Beki
Acha kutuandika nonsense banaMmedanganyika nyie
Ni sahihi hatuna timu B ndio nashangaa kiburi cha jk kumuacha Grujic...hawa watoto wanarukaruka tu
Utaelewa tu muda ni hakim wakat pep anaumia kompan anamuingiza otamend ww akiumia vvd unamuingiza nani?Acha kutuandika nonsense bana
Kabisa mkuu tukiacha ushabik pep epl ana kikosi kipana sana timu zingine bado sana
Na uhakika wa kumpiga labda yatokee maajabu ya mpira tu mkuu.Kazi kweli kweli na nikiangalia hii second round hilo gap sipati picha tunacover vipi na hasa kama Pep akamkazia tena Man U pale Old Traford
Vipi tena huyo Milly ahahahah
Niko busy na shughuli fulani so sijapata fursa ya kuangalia hii game
ugonjwa wako wa kubashili umekurudiaNa uhakika wa kumpiga labda yatokee maajabu ya mpira tu mkuu.