squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,195
YNWA=YOU NEVER WIN ANYTHING.Washabiki wa Liver hatuna haja ya kutukana wachezaji wala kocha, ni kweli haikuwa siku nzuri jana ila kuna mambo yakujifunza. ndio mechi ya kwanza kufungwa na tumefungwa away na team nzuri sasa mapungufu yameonekana kwamba system ya 433 tabu imekuwa kwetu tumeona tulivyoenda 4231 tukawa vizuri, ni wakati sasa wa Fabinho kuwa main hold midfield kuhusu Lovren hakuwa na game nzuri na tunajuwa Gomez majeruhi kwa hiyo hatuna choice kwa sasa na Arnold kapata shida jana lakini huyu ni kijana mdogo sana na kajitahidi na atakuwa vizuri tu, Nataka kujiuliza tukianza matusi kwa kufungwa na City je yangetukuta ya City kufungwa tena kwake na Palace halafu Leicester sio tungeshikiana mapanga. Liverpool tuko 4 points bado ni juu yetu kushinda mechi zetu na tuchukulie hii game imepita ila yako yakujifunza, na uhakika next game katikati tutawaona Fabinho, Gini na Keita or Shaqir na uhakika na hilo. YNWA
man i backed him for this game boy turned to be a passenger....
Dua la kuku halimpati mweweDroo ya Southampton imekuvuruga na muda sio mrefu Mtaa wa 6 utakuhusu
Mimi sio naangalia tu kama wewe, nacheza ingawa sio wa kulipwa.unaangalia mpira?
unaelewa maana ya "individual errors" in football?
ki ukweli mechi nyingi anazopotezaga Klopp tangu ahamie Majogoo ni Jan n Feb yaaani hapa ndio kutulia sana historia hii isijirudie msimu huu, gepu hii inabidi kui maintain maana huyu City atapigika tena na hata sisi tukicheza kama jana vipigo vinatuhusu...Unachokisema ni kweli. Ila lile wimbi la kupoteza mechi mfululizo linaweza likawapitia. Kuweni makini
Sent using Jamii Forums mobile app
totally wrong defending, recoverin th ball,passing, pressing yaani everythin jana was "things fall apart", n th momentun was with us, th boys need to respond to this wt a bang...we shouldnt be saying "upepo uligoma" chief
we got it all wrong today...
Jana Fernandinho na Kompany walihusika kuwakosesha raha fans wa Liverpool. Japo John Stone alikuwa na silly mistakes nyingi lakini ile save ilikuwa calculated, ingekuwa teknolojia ya kutambua goli haipo Liver wangesema wameonewaUko sahihi kusema kuwa Man City alipigwa na Chelsea na Fernandinho akiwepo uwanjani,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Fernandinho ndio injini ya Man City.
Mechi nyingi ambazo Fernandinho anakuwa hayupo uwanjani Man City huwa anashindwa kupata matokeo mazuri. Leo Liverpool amepoteza mechi,lakini tukisema Salah ndio mchezaji muhimu wa Liverpool wala hatukosei hata kama Liverpool kapoteza mechi Salah akiwa uwanjani.
MWISHO: Kumbuka kuwa Fernandinho hana mbadala ndani ya Man City,mpaka sasa Guardiola anahaha kutafuta mtu ambaye atacheza nafasi ya Fernandinho pindi Fernandinho anapokuwa hayupo fit.
Raundi hii ya pili kupigika kunawahusu zaidi.ki ukweli mechi nyingi anazopotezaga Klopp tangu ahamie Majogoo ni Jan n Feb yaaani hapa ndio kutulia sana historia hii isijirudie msimu huu, gepu hii inabidi kui maintain maana huyu City atapigika tena na hata sisi tukicheza kama jana vipigo vinatuhusu...
jana was really pathetic.
that is soccer bro, u smile today come tommorow(like jana) n u wish t was a dream...hahahahahahahahaha
i'm in tears man
Mkuu nimesahau jina lake
Hakuna noma sio sisi tu yeyote atapigika mkuu hata nyinyi ndio kabisaaa mjiangalie maana futuhi inawatamani msimu ujao....Raundi hii ya pili kupigika kunawahusu zaidi.
New Manure na kwenye mbio za ubingwa EPL msimu huu mpo??Nyie piganeni tu, Man U tunawacheki kupitia site mirror
Washabiki wa Liver hatuna haja ya kutukana wachezaji wala kocha, ni kweli haikuwa siku nzuri jana ila kuna mambo yakujifunza. ndio mechi ya kwanza kufungwa na tumefungwa away na team nzuri sasa mapungufu yameonekana kwamba system ya 433 tabu imekuwa kwetu tumeona tulivyoenda 4231 tukawa vizuri, ni wakati sasa wa Fabinho kuwa main hold midfield kuhusu Lovren hakuwa na game nzuri na tunajuwa Gomez majeruhi kwa hiyo hatuna choice kwa sasa na Arnold kapata shida jana lakini huyu ni kijana mdogo sana na kajitahidi na atakuwa vizuri tu, Nataka kujiuliza tukianza matusi kwa kufungwa na City je yangetukuta ya City kufungwa tena kwake na Palace halafu Leicester sio tungeshikiana mapanga. Liverpool tuko 4 points bado ni juu yetu kushinda mechi zetu na tuchukulie hii game imepita ila yako yakujifunza, na uhakika next game katikati tutawaona Fabinho, Gini na Keita or Shaqir na uhakika na hilo. YNWA
Mimi sio naangalia tu kama wewe, nacheza ingawa sio wa kulipwa.
Mpaka wanamfikia yeye beki maana yake kuna mtu mwingine pia hajawajibika, individual error.
totally wrong defending, recoverin th ball,passing, pressing yaani everythin jana was "things fall apart", n th momentun was with us, th boys need to respond to this wt a bang...
that is soccer bro, u smile today come tommorow(like jana) n u wish t was a dream...
man how do we lose to City wt Vincent at th back lol kweli Fernadhitho sio mtu mzuri maana he ws everywhere to cover his defenders.....