Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Ninachomaanishisha ni kwamba sisi Liverpool huwa tunaamini vya kwetu mpaka kufa, siku akitoka ndo tunatemana nayeKwahiyo ikitokea Mchezaji kufunga goli ndiyo anakuwa Mchezaji bora?
Hivi hizi tathmini zenu munazifanyia kinamna gani?
Kwani Mchezaji gani wa Liverpool ukitoa Kipa aliyekuwa hajawahi kufunga goli?
Original
Surridge
Moreno
Clyne
TAA
Solanke
Lallana
Hawa wote wameshawahi kufunga Magoli sasa nao tutahadharishe kuwa ni Mabest player.
Gomez alipata fursa ya kuanza pale Lovren alipokuwa majuruhi pia kumbuka, mm aiseeeee nawaamini wote wako vzr na nawapenda wachezaji wangu wote kwa msaada na wanajitoa kwa ajili ya timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mtazamo uliokuwa nao ww kiongozi but mtizamo huu hauwezi kuwa halisi hata siku moja, maana huwezi niambia ya kwamba tunaanza msimu Gomez akiwa chaguo la kwanza, ukweli ni kwamba Gomez anapata fursa ya kuanza baada ya Lovren kuwa majeruhi, kilichotokea ni kwamba alimudu vzr tu kucheza tukazoea na kumuamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg yangu ni fan mwenzangu nielewe tu kwa uzuri aiseeee, kilichokuwa kinafanyika pale ni saikolojia na kutengeneza mazingira mazuri ya depth ya kikosi, mtu kesha anza mechi 4 za mashindano na zingine zaidi ya 4 za trial tukaona improvement yake so nazani Klopp aliendelea kumuamini na kumpa nafasi zaidi Gomez ili azidi kumjenga na kumuirisha, tumshukuru Mungu kwa majaribio yale yameimarisha kikosi chetu leo na chaguzi kadhaa za kutosha kwenye CBLovren alikaa Majeruhi mechi 4 za mwanzo tu na sio mechi zote alizocheza Gomez
Nafasi zao na watu wanaowatangulia ndo tatizo, huwezi enda kucheza game ukiwa na njaa ya ushindi ukaanza na orig na Sturbridge huku mane Bobby wakiwa bench huo ni utani aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu walikuja Liverpool pale wakiwa wa kawaida Sana lkn imani juu yao na sapoti kubwa nje ya uwanja ikawafanya kuwa wakubwa duniani na wengine walikuja na majina makubwa wakafail
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg yangu ni fan mwenzangu nielewe tu kwa uzuri aiseeee, kilichokuwa kinafanyika pale ni saikolojia na kutengeneza mazingira mazuri ya depth ya kikosi, mtu kesha anza mechi 4 za mashindano na zingine zaidi ya 4 za trial tukaona improvement yake so nazani Klopp aliendelea kumuamini na kumpa nafasi zaidi Gomez ili azidi kumjenga na kumuirisha, tumshukuru Mungu kwa majaribio yale yameimarisha kikosi chetu leo na chaguzi kadhaa za kutosha kwenye CB
Sent using Jamii Forums mobile app
Welcome Back AOC
Endelea kupambana kujiweka fiti.
View attachment 982606View attachment 982608View attachment 982609View attachment 982610View attachment 982612View attachment 982613
Endelea na Mazoezi urudi uwanjani ili wale waliohamishwa kutoka Namba 6 kwenda Namba 8 wakatafute Clubs za kucheza na nadhani watarudi Sunderland [emoji23][emoji23]
Namba 8 gani asiyejua Kuassist wala kuscore [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
• GINI haekeki bench
• FABI naye ameshajihakikishia nafasi
• Akirudi AOC sijui yule msunderland atajisikiaje [emoji1][emoji1][emoji1]
Na bado pana Keita hapo.
Ama kweli mwaka 2019 Ni mwaka Wa Furaha kwa Wanaliverpool [emoji1][emoji1]
Imagine itokezee tubebe kombe huku Msunderland akiwa Benchwarmer [emoji23][emoji23][emoji23]
Jiulize tu ya kwamba hivi tusingekuwa nao hao unao wazarau leo hii tungekuwa tulipo? Hao unao wazarau leo hii ndo walituingiza kushiriki uefa last seasons na tukaingia fainali na pia msimu uliopita hakuna mtu alicheza namba 6 ya kiwango cha juu sana kama hendo pale Liva na alikuwa ni miongoni mwa namba 6 bora kabisa kwenye EPL, so tuwe tunakumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa Faby, Gin, na Naby ni wa kuanza maana tuna cha njaa ya kutosha, lkn haina maana ya kwamba hao wengine hawana umuhimu kamanda, umuhimu na heshima yao iko pale paleNimekuelewa ila nina maswali,
- Kati ya Henderson na Fabinho nani anatakiwa kuanza?
- Kati ya Henderson na Gini nani anatakiwa kuanza?
- Kati ya Henderson na Keita nani anatakiwa kuanza?
- Ikitokea AOC akipona, kati yake na Henderson nani aanze?
Last seasons statistics za hendo unazo au una mchukia tu aiseee hata kumfuatilia hutaki?Kweli tumetofautiana mtazamo aisee, unamwita Hendo namba 6 bora?
Kweli tumetofautiana mtazamo aisee, unamwita Hendo namba 6 bora?
Jiulize tu ya kwamba hivi tusingekuwa nao hao unao wazarau leo hii tungekuwa tulipo? Hao unao wazarau leo hii ndo walituingiza kushiriki uefa last seasons na tukaingia fainali na pia msimu uliopita hakuna mtu alicheza namba 6 ya kiwango cha juu sana kama hendo pale Liva na alikuwa ni miongoni mwa namba 6 bora kabisa kwenye EPL, so tuwe tunakumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Last seasons statistics za hendo unazo au una mchukia tu aiseee hata kumfuatilia hutaki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah, umenichekesha sana mkuu, hawa jamaa kweli wana mu- under late sana hendo aiseeee mpaka tunachekwa na watu wa asenoKlopp anampa Hendo mechi zote muhimu hata Alhamis ataanza!
Inachekesha sana ka genge ka watu huko Nachingwea kuona wao wanajua nani acheze mechi ipi kuliko the genius Klopp!
Huwa nacheka sana aisee,mtu kama @ngwaba na yule mwingine eti wao wanajua kuliko Klopp hadi kukosoa nani acheze
Upuuzi mtupu!
Sent from my iPhone using JamiiForums