Welcome Back AOC
Endelea kupambana kujiweka fiti.
View attachment 982606View attachment 982608View attachment 982609View attachment 982610View attachment 982612View attachment 982613
Endelea na Mazoezi urudi uwanjani ili wale waliohamishwa kutoka Namba 6 kwenda 8 wakatafute Clubs za kucheza na nadhani watarudi Sunderland [emoji23][emoji23]
• GINI haekeki bench
• FABI naye ameshajihakikishia nafasi
• Akirudi AOC sijui yule msunderland atajisikiaje 😀😀😀
Na bado pana Keita hapo.
Ama kweli mwaka 2019 Ni mwaka Wa Furaha kwa Wanaliverpool 😀😀
Imagine itokezee tubebe kombe huku Msunderland akiwa Benchwarmer [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona hendo anachukiwa sana, endeleeni kumuamini tu, mnakumbuka hata mlivyo mponda lovren na kumzarau sana mm niliwatahadharisha ya kuwa mnakosea, mechi iliyofuata alitupia na ya pili yake alizalisha goli la 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitarajie Gomez kuchukua namba mbele ya Lovren kirahisi hivyo, na mm Lovren akicheza na VVD huwa niko comfortable zaidi kuliko GomezLovren kashika namba ya Gomez, mwenye namba akipona jamaa anarudi Bench.
Henderson ndiye Captain wa timu, haikushangazi Captain kuanzia benchi mechi kama za Man Utd na Arsenal wakati haumwi?
Hata hendo naye ilibaki kidogo aandike goli dhidi ya aseno, hata lukaku pmj na upuuzi wake sometimes anawasaidia mwanitesa, kumbukeni mechi nao ndo alitoa assist wakachomoa goli
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitarajie Gomez kuchukua namba mbele ya Lovren kirahisi hivyo, na mm Lovren akicheza na VVD huwa niko comfortable zaidi kuliko Gomez
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi zao na watu wanaowatangulia ndo tatizo, huwezi enda kucheza game ukiwa na njaa ya ushindi ukaanza na orig na Sturbridge huku mane Bobby wakiwa bench huo ni utani aiseeeKufunga goli hakukupi ticket ya kulikwepa benchi, Sturridge kafunga game ya PSG, game ya Chelsea goli muhimu.
Origi kafunga goli muhimu sana game ya Everton. Lakini wako benchi.
Gomez alipata fursa ya kuanza pale Lovren alipokuwa majuruhi pia kumbuka, mm aiseeeee nawaamini wote wako vzr na nawapenda wachezaji wangu wote kwa msaada na wanajitoa kwa ajili ya timuNamba aichukue mara ngapi chief!
Subiri apone uone.
Usitarajie Gomez kuchukua namba mbele ya Lovren kirahisi hivyo, na mm Lovren akicheza na VVD huwa niko comfortable zaidi kuliko Gomez
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hendo anachukiwa sana, endeleeni kumuamini tu, mnakumbuka hata mlivyo mponda lovren na kumzarau sana mm niliwatahadharisha ya kuwa mnakosea, mechi iliyofuata alitupia na ya pili yake alizalisha goli la 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mtazamo uliokuwa nao ww kiongozi but mtizamo huu hauwezi kuwa halisi hata siku moja, maana huwezi niambia ya kwamba tunaanza msimu Gomez akiwa chaguo la kwanza, ukweli ni kwamba Gomez anapata fursa ya kuanza baada ya Lovren kuwa majeruhi, kilichotokea ni kwamba alimudu vzr tu kucheza tukazoea na kumuaminiSamahani! Labda nikuulize unaangalia EPL mechi za Liverpool?
Hivi tokea uanze huu msimu GOMEZ alikuwa akicheza namba ngapi?
Au hujui kama GOMEZ alikuwa akicheza CB na VVD?
Basi kama hujui LOVREN ni chaguo la 3.
Chagua la kwanza ni GOMEZ kwenye CB. Baada ya kuumia Gomez chaguo la pili alikuwa ni MATIP..
Baada ya Matip kuumia bega ndiyo Lovren chaguo la 3 akaanza kucheza.
Ninachujua Mimi Namba pekee GOMEZ aliyokuwa hawezi kuichukua kutoka kwa Lovren ni namba ya Jezi Yake.