Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Uchambuzi mzuri sanaKesho kama kawaida tunapitia upande wa trent
Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli
Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu
Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira
Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield
Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane
Iwapo mtashindwa huko
Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho kama kawaida tunapitia upande wa trent

Oh my Fucking birthday!! 😀
Lovren ahead of VVD ? 😀
Mina ahead of Robertson ? 😀
Ryan ahead of Alisson? 😀
Even Mwinyi Zahera wouldn't do it 😀
Tomorrow we'll see Alex Iwobi ahead of Mo Salah! Trust me 😀
Kesho kama kawaida tunapitia upande wa trent
Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli
Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu
Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira
Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield
Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane
Iwapo mtashindwa huko
Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka Kipa acheze bila beki? Hata Alison anazuia mashambuliz mengi hatari! Ungekuwa unafatilia mechi kuanzia ile ya Napoli had juz newcastle jamaa kaokoa mipira ya hatar sana ambayo kiuhalsia angekuwa kipa mwingine ni goli.
Kuhusu kuchukuliwa kwa €75 M unadhan thaman yake itakuwa haijapanda bado? Ni kama Salah aliyenunuliwa kwa €30M lakin kwa sasa bila €150 M humgusi.
[emoji3][emoji3]
But honestly nadhani Lovren alicheza vizuri juzi kuliko hata VVD
HahaKesho kama kawaida tunapitia upande wa trent
Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli
Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu
Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira
Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield
Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane
Iwapo mtashindwa huko
Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba hii ngoma ni ngumu,
Asante mwalimu kashashaKesho kama kawaida tunapitia upande wa trent
Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli
Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu
Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira
Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield
Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane
Iwapo mtashindwa huko
Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri yako ,mchezeshe huyo bakayoko part 2 namba 6Haha
Kesho usije dhan yatafanywa yale makosa ya kumchezesha fab namba 8 badala ya namba6
Subir utakipata kesho huyo TORORI wako usije ukamtegemea kesho mzee
Et upande wa ANOD ule upande kesho utashangaa anaekwa hata MILNER ndipo hauta amin mzee
Kitulize utakipataa unachokitaka
Ww mwenyewe unajua kua kesho hamtoki
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwez kujipiga ban mm sio @Ollachuga😀 😀
Najua unajikakamua ili tusije sema kuwa umejipiga Ban kama Rant boys Wa Chelshit tu .... 😀
Lakini ukweli Ni kwamba moyoni umejaa Hofu.. 😀
Tusalimie yule kituko mwenzio DullyJr 😀
Hivi Mara ya Mwisho Arsenal kumfunga Liverpool Anfield ulikuwa Mwaka gani ? 😀
Ukijibu namtag Ollachuga Oc 😀
Hii ni ndoto za alinacha
Yaan wewe huwa ni mshabiki oya oya ....Haha
Kesho usije dhan yatafanywa yale makosa ya kumchezesha fab namba 8 badala ya namba6
Subir utakipata kesho huyo TORORI wako usije ukamtegemea kesho mzee
Et upande wa ANOD ule upande kesho utashangaa anaekwa hata MILNER ndipo hauta amin mzee
Kitulize utakipataa unachokitaka
Ww mwenyewe unajua kua kesho hamtoki
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaYaan wewe huwa ni mshabiki oya oya ....
Huyo milner ni mzee huwez kumchezesha namba 2 kwa counter na pace za arsenal
Kwanza kesho hayupo
Inaonesha hata liver huifatilii, umeibuka kipind hiki ikiwa inashinda ,ndio mnatuletea tabu humu
Kesho piga ua tunapitia kwa dogo trent
Piga ua lazima kiungo tuwashike kisawasawa
Matokeo natoa 50/50
Iwapo mtashindwa kutumia vzr pengo.la namba 2 arsenal ,bas nawakunyuga 3+View attachment 979679
Sent using Jamii Forums mobile app
ARSENAL mpo kwenye ndoa bado na SOTONYaan wewe huwa ni mshabiki oya oya ....