Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Ni sawa na binti aliyetoka kubikiriwa. Huwa wanakua unstoppable. Wanagawagawa tu. Refer Man City and Chelsea.
Cant wait for Liverpool too [emoji3][emoji3]
You never know. Lets wait for it.
Kwani hujui kuna wasichana huwa wanatunza bikra zao mpaka siku ya harusi?
Liverpool ataitunza mpaka mwisho mkuu!
Katika 100 yupo mmoja. Do you think Liverpool will be one of them.? May be that is Ligue 1 and not EPL.
Liverpool inaweza ndiyo, why not?
Katika 100 yupo mmoja. Do you think Liverpool will be one of them.? May be that is Ligue 1 and not EPL.
Yani Liverpool hii ifungwe na manure fc?Tuna Challenge 3 tu zakuweza kuzifikiria kuhusu kutufunga Kwa sasa.
1) Man City (Etihad)
2) Man United (OT)
3) Everton (Godison)
Sasa hapo tukitoa sare tu na Man City basi test ya Everton nayo itashindwa kutufunga!
Hapo tutajiandaa Kwa Man United kwasababu ni NW Derby tuimalize hapo Kwa sare.
Yani Liverpool hii ifungwe na manure fc?
Tuna Challenge 3 tu zakuweza kuzifikiria kuhusu kutufunga Kwa sasa.
1) Man City (Etihad)
2) Man United (OT)
3) Everton (Godison)
Sasa hapo tukitoa sare tu na Man City basi test ya Everton nayo itashindwa kutufunga!
Hapo tutajiandaa Kwa Man United kwasababu ni NW Derby tuimalize hapo Kwa sare.
Mkuu inawezekana na wala si uchawi au hukubali?
Ni si Man United tu bali timu yoyote Katika 19 tunazocheza nazo inaweza kutufunga.
Kuna mambo mpaka sasa nimejizuilia nisije nikameza maneno yangu.
1) Siwezi kusema Msimu huu hatutofungwa na Timu yoyote au timu Fulani.
2) Siwezi kusema kuwa Msimu huu lazima tubebe Ubingwa kwani kuongoza Points 6 si kuwa hatuwezi kufikiwa au kupitwa.
Mpira unadunda.

Kwenye mashindano kitu cha kwanza ni kuacha kuwadharau wapinzani.
Guardiola post game interview vs Watford (2-1 win) aliongea kidharau sana kuhusu ushindi mdogo wa 2 - 1, akisema siyo ushindi wa kujisifu nao.
Kilichotokea, next 4 EPL games kapoteza 3 kashinda 1.
Sasa hivi anaulilia hata huo game inayofata.
Klopp aligundua hili ndo maana now days ukisikiliza press zake yuko selective sana na maneno anayoongea
Mmeanza kukubali mapemaaaNasema ivyo kwa sababu hakuna mpinzani wa maana anayeweza kuwapa changamoto except Tot naye hana ubavu. Sasa hapo kazi ni kwenu mkishindwa hamtakuja kuweza tena. Man city mnaona anachofanya, Chelsea ndio tunajikongoja, huyo Arsenal sitaki kuongea. Labda Tot ila naye sina imani naye.
Round hii tunaanza na madingi yao Ass na Shity...Huwezi Amini!!!
Kuanzia Timu iliyopo Nafasi ya 6 Mpaka ya 20 wote tumewafunga.
View attachment 978752