Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Kama liver imeweza raund ya kwanza kwa nini wengine wasiweze raund ya pili? Na kila timu hupata angalau blip, liver hajatoka kwenda away kwa wakubwa wengi.
Mimi ni the gooner ila i can't stand liver winning this, it's better Mancity.
Too much cockiness!
Mkuu unakwenda nje ya mada all and all tumeshida lakini watu wanapokosoa upangaji wa kikosi wa klop au sub zake ni muhimu kuzingalia nafkiri kama liver echos wameanza kumkubali faby hii yote ni nguvu ya mashabiki duniani
Gr8 pamoja mkuu ameharibu siku yanguBro, huyo jamaa mbona tulishampuuza!
Kila gemu ikiisha anakuja na kashfa, kama una muda endelea naye, lakini jaribu kuangalia kama kuna anayehangaika naye.
Exactly!
Cha msingi tumchape Man City pale Etihad...but before that and more importantly tumchakaze Arsenal akija Anfield come Saturday!
Gr8 pamoja mkuu ameharibu siku yangu
Fabinho acheze pale pale kwenye 6Man, nothing motivates me kuhusu game yetu dhidi ya Arsenal kama midfield battle ya Fabinho vs Torreira
cant wait man
Ninalo neno la kusema kwa nyinyi vijana wa Klopp.
MSIPOCHUKUA EPL MSIMU HUU HAMTACHUKUA TENA. ×3
Kila la kheri kwenu.
Fabinho acheze pale pale kwenye 6
Pamoja sana mkuuthought he received a yellow, but turned out it was Kolasinac man
Dk kama ya 80/81 i think
he will be available against us then
Torreira is on four yellows mpaka sasa, one more yellow and anakuwa out kwa game moja
Pamoja sana mkuu
Kuna siku matokeo yanakuwa mazuri mpaka unajikuta unataka kusoma kila andishi la michezo, City, Arsenal, ushindi wetu.
Hii Liverpool imenirudishia amani niliyowahi kuipata kipindi cha 2009 Torres anaumiza.
Man, nothing motivates me kuhusu game yetu dhidi ya Arsenal kama midfield battle ya Fabinho vs Torreira
cant wait man
if we do beat Arsenal this weekend
Then i'd settle for a point at Etihad
one game at a time