Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Apigwe tu

Bado yule CAN sijajua maisha yake kule.


i only watch Serie A kama nahitaji kuscout players

not a fan of serie A to be honest

but kwenye few matches nilizoangalia za Juve this season (tried to watch Cancelo) nimeona Allegri ana-prefer zaidi mid ya Bentacur/Pjanic/Matuidi, always thought he'd replace Matuidi eventually, but Di marzio reports zinasema Juve are in talks with Ramsey now. so if Ramsey signs for Juve. Can atakuwa na wakati mgumu zaidi, but he's only 24 so bado ana muda wa kujiongeza

i dont blame Emre can, because alikuwa ni Victim wa Echo agendas, the club drove him out. nothing more, case yake ni tofauti sana na ya Coutinho
 
You'd think Fergie amerudi jinsi medias zinavyo-hype ushindi wa Utd against Cardiff City lol

story of the week should be a struggling Palace beating Pep's team, but its United, so tutasikia kila aina ya neno because they beat a team which employs defender kama Bamba
 
Bila kumsahau "ROBBO". I call him "un sung hero"
 
Jamani Mungu-Mtu Pep Guardiola kawaje tena?
Klopp IS NOT A WORLD CLASS MANAGER ndiyo maana BVB walimruhusu kuondoka!
Sasa self claimed god of football wenu mbona anafungwa na CL tena 3 tena kwake jamani?
Mungu anazidi umbua watu hapa eheheheeh!
Klopp tufikishe Caanan salama!
 
Jamani wana Liverpool halisi tunao kuwa chini ya Klopp na wachezaji hata siku tumepoteza mchezo tuendelee kushikamana!
Klopp alipo chukua team akituhaidi kuwa baada ya miaka minne kamili ndiyo tutaanza kuona mafanikio,nina amini alisema kweli!
Tuna games mbili ngumu Anfield na NC na Arsenal,tuzidi kushikamana
 
Only two teams in the last 10 years have been top of the Premier League at Christmas failed to win the title:

2008/09: [emoji837] Liverpool
2013/14: [emoji837] Liverpool

This is the 3rd time.
 
Kukosoa haimanishi timu haipendwi tembelea hata thread za wapinzani wetu wanakosoa na kulaumu endapo timu ikipata matokeo mabaya kwa uzembe wa wachezaji au kocha kupanga kikosi vibaya so mie sioni tatizo ni jambo la kawaida kukosoa
 
Kukosoa haimanishi timu haipendwi tembelea hata thread za wapinzani wetu wanakosoa na kulaumu endapo timu ikipata matokeo mabaya kwa uzembe wa wachezaji au kocha kupanga kikosi vibaya so mie sioni tatizo ni jambo la kawaida kukosoa

Mkuu naona umeingia kichwakichwa kwa huyo jamaa! Kama huamini subiri atakapokuja tena uone...

Hapo anatafuta mtu abishane tu huyo na ndiyo umeshaingia basi ataanza na wewe.

Na ndiyomana sikuhizi watu washamjua Post zake wanazipuuza tu na kumuachia Washabiki Wa Arsenal ndiyo wenziwe hao unaomuona anawaita Washabiki Halisi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…