Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hahahahaha yamekuwa hayo tena mbona unarukaruka wewe tupo ktk calabao umerukia ucl sasa unafikiri una maisha kule labda sio munchen nnayoijua mm
Wewe una maisha wapi? [emoji23] [emoji23]
Kwamba EUROPA ama? Unaweza kumfunga Chelsea wewe?
 
REPORT

Frank mtanganyika
Member
Last seen 10 minutes ago
Joined Aug 10, 2018Messages21 Likes26 Points
15

hahahahahahahahah munajitahidi kufungua ID mpya ili kujibust muonekane na nyinyi mna watu wengi hahahahahahahahahahah ila huu ni upepo unapita tu maplastic fan mtawaacha wenyewe LIVERPOOL HALISI kina Malafyale
 
Ongea fact ujibiwe fact
 
Wewe una maisha wapi? [emoji23] [emoji23]
Kwamba EUROPA ama? Unaweza kumfunga Chelsea wewe?
kama mwanaume beba EPL...........SG kaanzia academy mpaka anataundika saluga hajanusa harufu ya hili kombe Ox,salah,trent,gomez,keita,fabinho,mane,filmino,robo,shaqir,sturridge, n.k toka wazaliwe hawajawahi shuhudia hii timu inanyanyua hili kombe.........
 
Nashukuru. Wewe kama mwanaume baki tu hata top 4 mpaka mwsho wa league. Unaongelea watu waliosajiliwa juzi, alafu unasahu ox alitoka kwako mbona hakunusa? [emoji23]
 
Yaan mimi hata itokee washinde mech 38 zote za ligi ,naamini ipo timu nyingine itashinda mech 38 na itamzid kwa magoli na liver atakosa EPL

Kweli humu tunajadili na watoto aisee...sasa Liverpool akishinda games 38, hiyo timu nyingine itashindaje tena games 38 wakati nayo itakuwa imeshafungwa na Liverpool ambaye kashinda zote 38???
Anyway nyie endeleeni na ramli zenu sisi tunasonga mbele, game after game.
 
Nashukuru. Wewe kama mwanaume baki tu hata top 4 mpaka mwsho wa league. Unaongelea watu waliosajiliwa juzi, alafu unasahu ox alitoka kwako mbona hakunusa? [emoji23]
mtaje mchezaji aliyenusa harufu ya EPL hapo loserfool
 
mkuu samahani sana ila iwapo umezaliwa 1950's una haki ya kusema hayo......
 
Huna kiungo cha kupanbana na arsenal,mpaka hiyo tarehe 29 tayar majeruhi wa arsenal wa beki watakuwa wamerudi, na XHAKA atarud kat Kucheza na toreira, mtapotezwa kati kama ilivyotokea pale emirates

Huna kiungo cha kupambana na XHAKA & TOREIRA

Kwahiyo baada ya kutupoteza mulipata points ngapi labda?

Najua hutanijibu Bali utakuja na porojo lakini ndiyo nishakuuliza!
 
Bora nitulie tu Pembeni niwaache Hawa Subwoofers Wa Ass-anal wapige porojo mpaka tarehe 29 December Siku ambayo watajipiga Ban kama walivyojipiga Rant boys Wa Chelshit.
 
Liver kuchukua kombe mpaka nyerere ageuke kaburini na mandela apige chafya kaburini.
 
Bora nitulie tu Pembeni niwaache Hawa Subwoofers Wa Ass-anal wapige porojo mpaka tarehe 29 December Siku ambayo watajipiga Ban kama walivyojipiga Rant boys Wa Chelshit.
Mnaweza shinda ila KOMBE hamchukui hata muende kwa fundi sharifa.
 
Huyu dogo wa kiholanzi Ki-jana Hoever nitafurahi sana kama atakuwa alongside VVD na Gomez maana ana kipaji hatari hata huyo Trent hanusi vumbi licha ya kumzidi umri huyu dogo Ki-jana Hoever
 
Mkuu mbona mchonganishi ....mimi napenda jukwaa hili watu wana madini mengi ya football tunabadilishana mawazo na kukubaliana kutokukubaliana ,amani itawale
dah nimecheka sanaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu,ina maana wewe toka uzaliwe hujawahi ona haya majamaa yakibeba kombe liitwalo EPL?
 
Huyu dogo wa kiholanzi Ki-jana Hoever nitafurahi sana kama atakuwa alongside VVD na Gomez maana ana kipaji hatari hata huyo Trent hanusi vumbi licha ya kumzidi umri huyu dogo Ki-jana Hoever
nimemshuhudia huyo kijana kwa kweli yupo vizuri mimi mwenyewe natamani angekuja pale kwetu naamini ni mahali sahihi sana kwake
 
nimemshuhudia huyo kijana kwa kweli yupo vizuri mimi mwenyewe natamani angekuja pale kwetu naamini ni mahali sahihi sana kwake

Holland wanakuja ulingoni sio muda maana sio kwa talents kama hizo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…