Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Acha uongo wewe,livakuku lini kashinda premier?Nilijua tu toka/tangu inakuja. Mie hujajibu swali. Umetoa orodha ya vitu ambavyo vimetokea tangu Liverpool ashinde Premier. Na mimi nakuuliza utuletee orodha hapa ya nini kimetokea tangu mshinde UCL mara ya mwisho.
Wewe kujibu lini umebeba EPL ni rahisi kujibu?Hili swal kwake huwa ni gumu sanaa
Hawalijibugu
Uefa ushaga beba?Wewe kujibu lini umebeba EPL ni rahisi kujibu?
Sasa unafiki gani apo nimeonesha?Kwa unafiki hujambo, ulikomaa siku ile liver anapigwa, nikakwambia,ww mpira huujui,
Maana man u tayari walishaonekana underdog, then wanaenda anfiled,
Hata makampun ya kubet yakampa man u odd 6.
Wewe ukabak unakomaa man u anashinda,
Kama ulishindwa kuchungulia ile mechi, wewe mpira huujui, ndio maana unashabikia timu ya 2005, means wewe umeanza kufatilia mpira miaka ya 2015
Ulitaka niseme jana ,? Kwan lini umebeba taji lolote, hebu tukumbushane,Anajibu "toka" na "tangu".
Duh, ulikuwepo?[emoji16][emoji16][emoji16]1990 ww je??
Jibu swali. Sisi tumeshakubali vyote hivyo. Na wewe tangu mlipobeba UCL nini kimejiri mpaka leo hii?Ulitaka niseme jana ,? Kwan lini umebeba taji lolote, hebu tukumbushane,
Maana hata msimu huu tunajua mtamaliza KAPA
Wewe ukipoteza game 2, nafas ya ngap inakuhusu?Sasa unafiki gani apo nimeonesha?
Kusema Liverpool ina kikosi kizuri lakini sio bora?
Au kusema liverpool ilistahili kushinda?
Wewe kinachokukera ni Liverpool hajafungwa gemu ata moja kwenye ligi.
Arsenal mpaka sasa haina future, hamjui mnataka nini!
Man united anakuja hapo nyuma yako kwa kasi ..mkipoteza gemu mbili tu nàfasi ya saba itawahusu.
Shida ya huyu ndugu ni kwamba wameshajiona wamemaliza yani. Anajiona wameshaula.Sasa unafiki gani apo nimeonesha?
Kusema Liverpool ina kikosi kizuri lakini sio bora?
Au kusema liverpool ilistahili kushinda?
Wewe kinachokukera ni Liverpool hajafungwa gemu ata moja kwenye ligi.
Arsenal mpaka sasa haina future, hamjui mnataka nini!
Man united anakuja hapo nyuma yako kwa kasi ..mkipoteza gemu mbili tu nàfasi ya saba itawahusu.
Nakushangaa , liver anikere mimi, wakat inajulikana waz kuwa liver msimu huu atatoka KAPASasa unafiki gani apo nimeonesha?
Kusema Liverpool ina kikosi kizuri lakini sio bora?
Au kusema liverpool ilistahili kushinda?
Wewe kinachokukera ni Liverpool hajafungwa gemu ata moja kwenye ligi.
Arsenal mpaka sasa haina future, hamjui mnataka nini!
Man united anakuja hapo nyuma yako kwa kasi ..mkipoteza gemu mbili tu nàfasi ya saba itawahusu.
EPL la wapi hilo,1990 ww je??
Uefa ushaga beba?
Umekubali wapi,tamka kwa sauti.kila mtu asikieJibu swali. Sisi tumeshakubali vyote hivyo. Na wewe tangu mlipobeba UCL nini kimejiri mpaka leo hii?
Kubeba kombe kama hili tena unatakiwa usahau.Tumeshinda a GOLDEN TROPHY , una swali lingine ,uliza View attachment 972589
Haijalishi cha muhimu tulibeba ila ww hata UEFA hamuijui ladha yakeDuh, ulikuwepo?[emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie si ndionajiita kabisa et UnbeatenShida ya huyu ndugu ni kwamba wameshajiona wamemaliza yani. Anajiona wameshaula.
[emoji23] [emoji23] tukiweka hapa stats utakimbilia "toka". You gat nothing new man.Umekubali wapi,tamka kwa sauti.kila mtu asikie
Tusahau ,wewe hilo kulibeba huwez itachukua miaka 100 kubeba GOLDEN TROPHY,Kubeba kombe kama hili tena unatakiwa usahau.
Nyie mtabeba Community shield tu..
Angewapa hata UCL moja tu mzee. Maana hamna hata moja. Sisi tuna kila kitu ulichowahi shinda wewe.Nyie si ndionajiita kabisa et Unbeaten
Dunia inaijua unbeaten 1 tu ,ya arsene wenger
Nyie tushashuhudia mkifanya vzr, ila mwisho wa msimu ni ZERO TROPHIES
Tamka kwa sauti kubwa[emoji23] [emoji23] tukiweka hapa stats utakimbilia "toka". You gat nothing new man.