Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
kabisa Rashford jana kazimwaaa mazimaaa
naona man city ameshafuzi kuelekea robo fainali ila kwetu bado tunakazi kubwa hao bayern tusiwachukulie pouwa kabisa
huyu Fab na Gini for real wanatupa raha sana maana pale katikati walikua wanateleza....Rashford jana alizani atapa zari kama la last season but Clyne aliona kumkaba yeye ndiyo fursa pekee kwa yeye kurudi kwenye nafasi yake ya kikosi cha kwanza.
Hatimae the Job is done
Rashford hakupata huduma yoyote unaweza kutuambia kuna mpira aliotengenezewa? Goli mbili alizokukata last season moja lilikuwa la mipango nyuma yao yupo lingard rashford anachezaje?Rashford jana alizani atapa zari kama la last season but Clyne aliona kumkaba yeye ndiyo fursa pekee kwa yeye kurudi kwenye nafasi yake ya kikosi cha kwanza.
Hatimae the Job is done
Kila lakheri kwenye champions league ila team yenu haijashinda away na sio salama sana unapokutana na team kama buyern ,Madrid ,barcaKwa Bayern hii ya sasahivi inayosuasua Bundesliga ambayo alikuwa na hatimiliki nayo nakuhakikishia sina wasiwasi tunatinga Quarter Final
mambo ya ushabiki tu ......naona away team zikipita zote na home teams zikitoka zote
Kila lakheri kwenye champions league ila team yenu haijashinda away na sio salama sana unapokutana na team kama buyern ,Madrid ,barca
mambo ya ushabiki tu ......naona away team zikipita zote na home teams zikitoka zote
Kila lakheri kwenye champions league ila team yenu haijashinda away na sio salama sana unapokutana na team kama buyern ,Madrid ,barca
kila wakiweka kambi humu kutuambia tunapigwa wanajikuta wanajipiga BAN wenyewe kimya kimya...Home tunashinda mbili bila halafu away tunafungwa tatu moja, how about that?
Ha ha ha ha ha...mnatuombea mabaya lakini ndiyo tunazidi kusonga mbele tu!
mambo ya ushabiki tu ......naona away team zikipita zote na home teams zikitoka zote
Barcelona coach Ernesto Valverde: "We are pleased with the Round of 16 draw. We wanted to avoid a rival like Liverpool, the current runners-up in Europe."
Unfair to Robertson