Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mnachekesha, mnacheza na kikosi cha pili mnashangilia...[emoji57]
 
katika wachezaji tumepata ni huyu jamaa-da sio kwa mapafu hayo
View attachment 969966
Mipira ya kujulia ukubwani bwana tabu sana, Mou aliua winga ya kulia baada ya Dalot kutoka, kwa hiyo huyu akawa free kupanda anavyotaka, Upmbaf wa Mou kumuacha bench Valencia ndio umempa kiki kijana. USIMPIME KWA MECHI HII ILIYOHARIBIWA NA UPANGAJI WA KIKOSI.
 
mie sijampa cresit kwa game hii tu! jamaa ana perform vzr kwenye game nyingi tu.usiseme mou ni mpumbavu mpira ni mbinu hapo kazidiwa mbinu
 

Attachments

  • 1544986554061.png
    259.8 KB · Views: 42
We ndo huangalii mpira. Nadhani Robertson umemwonea kwenye hii game usingesema mashudu yako hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…