Angali vizuri na alienda kukaba ile klosi hakwena total kwakweli wala usingemfika kipa ule mpiraGoli ni error tu ya kipa ambayo siwezi kumlaumu kwani ameshatusaidia sana.
so, hii nitahesabu ni bahati mbaya tu imetokea
Sehemu ya kiungo tumemiliki vyema tu
Mou anawafunga leo, hamutoaminiLakini kwa ninavyomjua Mourinho atafanya juu chini hii game aitoe draw
Tuki ikosa Man hii sijui tutaifunga ipi kwakweli dah inauma sana mpira huu