Huyu Ings alikuwa awe ni mmoja kati ya World Class Striker lakini injury za muda mrefu za mara kwa mara (injury prone) ndiyo zilizozima ndoto zake.
I know it is too early but still I've a hope! Well done Soton! Do your job for us
Sure, atasaidia kutupunguzia kelele humu.
Jamaa wamewekeza akili zao kwenye game ya Liverpool wakati kwao kunaungua.
Mkuu hongera kwa kuifahamu kauli yangu ya "Do Your Job For us"
Yani kuna wale Ndorobo wawili wamekuwa wakitujazia nonsense humu angalau watapata kupumzika huko waliko
Wakuu game mda gani??