Hongera za kinafiki hatutakin
nikikuita empty set wala sitokuwa nimekosea........maana hata hilo uliloandika nalo ni povu
nikupe pole sana ila kausha tuje hapa baada ya dk 90 ili kutoa pongezi au kufunga turubai la msiba .......uzuri wa mimi sio mnafki mkishinda nitakuja hapa kuwapa hongera zenu
i personally agree this th right startin lineup vs th lost boys but Klopp wont leave out his captain in such a game....
hii gemu ya leo Mo Salah acheze katikati na magoli yatakuja mengi tu....Game ya leo tunahitaji Wachezaji Watatu tu kuwa on fire ili tuweze kushinda!
1) GINI
2) MILNER
3) MO SALAH
Any argument?
hapana mkuu kiukweli mimi sio mnafki amini hilo,ila wewe tu unanchukulia sivyo ila kama nimekukwaza kwa lolote naomba nisamehe bureHongera za kinafiki hatutaki
hii gemu ya leo Mo Salah acheze katikati na magoli yatakuja mengi tu....
leo huyu Mane finishing yake asituangushe jamaa..
the players need to be clinical..
hii gemu ya leo Mo Salah acheze katikati na magoli yatakuja mengi tu....
leo huyu Mane finishing yake asituangushe jamaa..
the players need to be clinical..
Namuona Naby Keita akiwa man of the match siku ya leo
For what I know kuhusu Klopp! Keita will be a Benchwarmer
Game ya leo tunahitaji Wachezaji Watatu tu kuwa on fire ili tuweze kushinda!
1) GINI
2) MILNER
3) MO SALAH
Any argument?
Huenda kuna kime wakera kwa watu wao sio bure bhanaa kuna maslahi binafsi yamekiukwa tuAt least Echo wanaanza kufumbua macho.
Fabinho's growing importance to Liverpool & why he's now undroppable
Tunahitaji mtu wa style yake kwa siku ya leo hasa kama mashetani watawachezesha Mata na pogba pale kati, machuma chuma yetu yatapata wakati mgumu kuwazuia hao niliowataja
Jamaa mapepe ni balee ile juzi kuingia tu kaacha kuokoa mikono kwa refa dah ubora wa kipa ulituvusha siku ile sio siriHapo mchecheto ni Lovren pekee tu! Lakini mbele ya Lovren akikaa Gini na kuliani kwake akiwepo Milner, kidogo itapunguza risk za huyu jamaa.
Ni mchezaji mziri sanaaa ila ana mchecheto mchunguze utagunduaLovren yuko vzr tu labda ni hofu yako tu juu yake. Mm nakuhakikishia Lovren ni beki wa maana sana
Mtani upo? Mbona kama jogoo limeanza kutetemeka?Kuna Herrera pia nakumbushia tu kung fu zao na Pogba
Cut Milner put Bobby ... to me
Naomba unielekeze hiyo ignore button, huwa ni msomaji bila kuandika ktk jukwaa hili.Ila kwa kutokujua soka na ushabiki maandazi usio na tija kwa huyo bwana mdogo naandika kwa mara ya kwanza ili nijue namna ya kumkwepaThe best you can do ni kuclick ignore button, hutaona alichoandika.