OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Madrid na Liverpool ni timu mbili tofauti.Naheshimu mawazo yako! Kwahiyo nakukumbusha tu kuwa Last season Real Madrid alitolewa jasho na kufungwa na Spurs kwenye Makundi lakini kwenye mtoano alimfuga PSG, Juventus, Bayern na Liverpool mpaka akabeba kombe.
So, whta is your point?
Dah kumbe uko Arusha mze ..umetishaa!!Nipo Arusha hapa Shamsi
endeleeni kuwanga hua hamchelewi kujipiga ban wenyewe mnatulia kimyaa kwenye uzi wenu maana kila mkiangalia msimamo wa ligi baada ya gemu kesho tutarudi ushukani tena....Man united atakuja kuchukua point tatu kihalali kabisa apo Anfield..
nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuzekesho Mou anawapunguza kasi ..nafasi ya tatu itakuhusu!
Liverpool Trophies:
League Tittles: 18
First Division Winners: 18 (1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90)
hutoboi huu mwaka bila ya kuwa katika nafasi yako...nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuze
mkuu wewe kuwa juu yetu wala hainipi tabu kabisa ..nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuze
Hadi mwisho wa msimu ..mimi nitakuwa niko juu yako.!nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuze
Kwa hiyo arsenal toka ianzishwe haijawahi kuwa na bahati? Ndio maana mlipigwa 8kwani tumepinga?kwa upande wangu mimi sipingi na sibishi lakini hata kama ndio ningekuwa nimeanza kushabikia soka mwaka huo mimi nisingevutiwa na timu kama liverpool kwani haikuwa na wakati mzuri kama nakumbuka ilichukua ndoo ucl lakini ligi kuu walikuwa wanavurunda na kama sikosei walishika nafasi ya 5 katika msimamo chini ya arsenal sina hakika lakini mwenye kumbukumbu nzuri atasahihisha hapo,naikumbuka sana liver ile ya kina hamman,riise na milan baros huku carragher akipiga mkoba lakini haikuwa na wakati mzuri kuvutia watu waishabikie maana inajulikana wazi kuwa mashindano ya ucl tofauti na ligikuu bwana kama wewe kidume beba ligi........ucl ukiwa na bahati tu umelibeba ila epl ule ushibe ndio maana SG ametandika daruga kishingo upande
Hata liver akipigwa nane kama alizopigwa aseno hawezi kuwa watatukesho Mou anawapunguza kasi ..nafasi ya tatu itakuhusu!
Hadi mwisho wa msimu ..mimi nitakuwa niko juu yako.!
yaani wewe bado unahangaika na hili swala...English Premier League: 0
imefika wakati wa kuondoa huu upotoshaji Mbu afanye marekebisho ya hili bandiko maana linapotosha historia kwa new generations
yaaani hii ligi raha sana leo Spurs akiwa Wembley kulisotea goli lake moja...Joe Hart leo kakomaa tho Burnley kapigwa Sean atakua kaona mazuri sana kutoka kwa vijana wake leo...22Hours and 42minutes to go
Rangers & Liverpool have agreed to terminate Ovie Ejaria’s Ibrox loan period. Ovie will be returning to Liverpool immediately. The midfield player has not settled in Scotland and wishes to continue his career back with his parent club.
( Rangers )
umekasirika?Kwa hiyo arsenal toka ianzishwe haijawahi kuwa na bahati? Ndio maana mlipigwa 8
wenye hasira wote kutwa kucha wapo kwenye majukwaa ya watuumekasirika?