Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

duuuuh mkuu unawakabia juu kama Torrera
 
Tukio hili ndiyo linalozidi kunipa wasiwasi kesho kwa kucheza kwa Lovren.

Mtu anatuliza mpira na kushuti huku Lovren akishindwa kufanya majukumu yake from the begining...

Thanks to Alisson

 
Arsenal wana rekodi ambayo liver hawana [emoji23] [emoji23] nyie mna hata UCL hata moja ambazo liver anazo 5? ... jibu, tangu/toka..
sasa kwani uwongo mkuu?mambo mengine sio lazma kubisha tu ili utetee upande wako,mwisho wa siku utajidharaulisha bureeeeeeeeeeeee....................swali fupi
"Je, liverpool wana unbeaten season?" au hiyo sio rekodi bali rekodi ni hizi munazookotezaokoteza kila siku!!!!kwa upande wa ucl mimi sipingi sibishi
 
2005 wakati tunabeba ndoo..mnajisahaulisha kinoma
kwani tumepinga?kwa upande wangu mimi sipingi na sibishi lakini hata kama ndio ningekuwa nimeanza kushabikia soka mwaka huo mimi nisingevutiwa na timu kama liverpool kwani haikuwa na wakati mzuri kama nakumbuka ilichukua ndoo ucl lakini ligi kuu walikuwa wanavurunda na kama sikosei walishika nafasi ya 5 katika msimamo chini ya arsenal sina hakika lakini mwenye kumbukumbu nzuri atasahihisha hapo,naikumbuka sana liver ile ya kina hamman,riise na milan baros huku carragher akipiga mkoba lakini haikuwa na wakati mzuri kuvutia watu waishabikie maana inajulikana wazi kuwa mashindano ya ucl tofauti na ligikuu bwana kama wewe kidume beba ligi........ucl ukiwa na bahati tu umelibeba ila epl ule ushibe ndio maana SG ametandika daruga kishingo upande
 
Huenda alikua hajazaliwa sasa kam hajui
acha dharau mkuu.............unajua aliyezaliwa baada ya mwaka 2005 ana miaka mingapi sasa?au umeropoka tu,isitoshe yeye hoja yake ni kuwa hamjabeba kombe lolote kuanzia mwaka 2011 mpaka leo kama nimekosea atanisahihisha msiwe mnakimbia hoja kwa kugeuza geuza maswali hiyo ni jinai
 
From adidas to Nike next season, rumours

View attachment 969000

Lol, man nimeona sehemu kuwa New balance bado tutakuwa nao next season

nilivyosikia kuhusu ishu ya Nike, nikaamua kureserve my Fabinho shirt order, but baada ya kuona hiyo ishu ya NB, decided to place an order and had to wait for the new stock.

NB are still here bro hahaha
 
Unapoteza muda kubishana na mtu anayejua anachokifanya, so anajichagulia kasehemu ambako anajua katampa faraja.
wewe mwenyewe unaujua ukweli lakini pia unajipa faraja so endelea kujifariji ila kimsingi kile kitu kinachoitwa ENGLISH PREMIER LEAGUE nyinyi mpaka muda huu hamna mnashiriki tu
 
Man united atakuja kuchukua point tatu kihalali kabisa apo Anfield..
 
Hahhaha AROON upo kama kinyonga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…