Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp: "I'm aware of the criticism of MUFC, but when we analyse them and turn off the sound, the quality is there. They are really strong. Unbelievable quality. We don't judge the points they have, we judge the quality." #LFC #MUFC
 
Klopp: "Paul Pogba is a world class player and that's all I can say. We should prepare for him as well."
 
Klopp on Clyne: "He was unfortunately injured in past 2/3 weeks but luckily he's back in full training for 3 or 4 days. Is he ready for 90mins? I don't know. But is he ready for Sunday? Yeah."
 
🔑 The Five key points from Jurgen Klopp's press conference

⭕ The "solution" to injury problems
⭕ Klopp's perfect response to Pogba questions
⭕ Clyne ready for action
⭕ The one reason why Wilson would be recalled
⭕ Transfers are unlikely
 
ila wewe unapoteana raundi ya ngapi mkuu?maana na wewe pia ndio walewale tena kwa kizazi hiki nahisi mimi nina afadhali
 
kwa
barca ile hata wewe ungetetemeka maana sio kwa pira lile lililokuwa linapigwa....sio hii ya kina dembele na coutinho tia maji tia maji kina real betis wanajipopolea tu kama mwembe wa uwani pale camp nou
 
naona hukulidhika mpaka ................naona tunakutia homa sana sisi hatutaki historia hapa ni football tu,kifupi kaa na historia yako sijui ulihadithiwa au uliona youtube ila mimi tar 29 nakuja kufunga turubai hapa yaani fujo kama zote
 
kipi
kipindi munaokoteza virekodi vyenu uchwara basi mutuwekee na ile rekodi yenu ya kukata na shoka kuwa LIVERPULU HAIKUWAHI KUCHUKUA EPL
 
Acha kuongea utumbo, arsenal huijui tulia ufundwe au uliza

Mlianza kwakusema arsenal Haitapita salama mwez wa 11 na wa 12 maana ndio miez migumu kwa arsenal toka 2007,

Huo mwez wa 2. , had wa 5 huwa sio miez migumu ya arsenal ,

Usipende kuropoka, huyo wenger pamoja na kuishiwa mbinu bado alifanikiwa kutuletea ndoo 3 za FA CUP NA 3 ZA FA COMMUNITY SHIELD

usitegemee kuiona arsenal ikitetereka tena, Kitu alichoongeza unai ndan ya timu ni kikubwa, tegemea kuona ,nikikupumulia hapo juu,

Soon tutaongea vizuri,
 
Line up yangu vs Manure:

ALISSON

MILNER - LOVREN - VVD - ROBERTSON

GINI - FABI

FIRMINO - KEITA - MANE

SALAH


Naamini kwa kikosi hichi tunaweza kumdhibiti vyema tu Manure na kubaki kileleni till January
 
Unaongea utadhan bas liver mna mafanikio yoyote ndan ya miaka 10,

Wakati liverpool toka 2011 hujabeba taji lolote,

Umecheza europa huko unapopaita FUTUHI, unecheza sana na ilifikia hatua hata nafas ya kushiriki hiyo FUTUHI uliikosa,

Liverpool ilifikia hatua ikawa timu ndogo, na mpaka sasa ni timu ambayo haina mashabiki wengi kulinganisha na Man u, arsenal na chelsea,

Unapayuka hapa na kuwatusi THE GUNNERS wakati huna tofauti mbwembwe zako na Totenham anayefurahia KUFUZU UCL tu, bila chochote ,na huku Ligi za ndani ukiambulia Sufuri.

UNAJIVUNIA MAFANIKIO AMBAYO HATA ASTONVILLA AU NORTHGHAM FOREST anayo, lakin kwasasa amebak ni timu ndogo

NA MWAKA HUU MSIPOBEBA CHOCHOTE HATA KOMBE LA MBUZI , natabiri ndio itakuwa mwisho wa mbwembwe za liver maana klopp atasepa, hao kina mane watatafuta klabu nyingine.
 
Ndo mafanikio yao makubwa UEFA hawa jamaa.
Wewe EPL una mafanikio gani?

Unawezaje kushupaza shingo, ilhali timu yako toka 2011 nikiwa kidato cha sita ,ndio mara ya mwisho liver kubeba taji ,tena likiwa CARABAO CUP?

Au unafurahia kufuzu UCL kama totenham?na kuwa msindikizaji kwenye FA CUP, EPL ,?
 
Mpaka February Majeruhi wetu GOMEZ na MATIP watakuwa tayari kurudi dimbani
 
Wakuu hii ishu ya dembele kutaka kuondoka barca nadhani liver tungeliwahi hili donge tungekuja kuwa na front kali sanaa kuwahi kutokea hii dunia

Salah angerud kati kama 9 dembele7 na mane11 pembeni
Boby arud 10
Dembele hahitaji kuja hapo ukameni

Dembele nia yake ni kucheza gunners kwa rafiki zake kina AUBA ,MICKy, afurahie mpira mzuri au sex football

Nia yake ni hiyo, na akija liver hatadumu, atakuwa mpitaji tu kama anavyopita hapo barca, lengo lake ni kuungana na wana gunaz, na kukutana na msaka vipaji bwana. Sven ,aliyegundua kipaji chake.

Sidhani kama atakubali kuja hapo UKAMENI, atafata nyayo zile zile za ALEXIS SANCHEZ
 
Dah wakuu jumapili napaona mbali sanaa niseme ukwel tu

MUNFC duh Rashford alichotufany last time kweny EPL huwa kinanikosesha raha mbele ya washabik wa MUNFC ,liverpool inipe ushindi tu haijalishi ni wa goal ngapi
Napenda mshinde ila mna chonga sana

Matokeo yoyote sawa tu

Mkishinda shangwe, mkipigwa shangwe,mkisare shangwe tu

Uzuri man city kashasimamishwa , hakuna wa kujifanya UNBEATEN ,hiyo itachukua miaka 100

Wewe liver hatuna wasiwasi na wewe, hata wolves anakutosha

Nadhan sasa UNBEATEN YA INVINCIBLE INAWEZA KUCHUKUA HATA MIAKA 100 NA ITAVUNJWA NA ARSENAL WENYEWE, IWAPO ITATOKEA MIAKA IJAYO HAPA KARIBUNI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…