Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
kosa moja so far ile goli ya Leicester tu..na baada ya hapo akawa amekaribishwa rasmi ligi ya Uingereza....
aafu jamaa looks so cool n settled hana papara kabisa ni kazi kazi tu...
This might prove to be th best addition whole of EPL come May 2019.
Liverpool owners Fenway Sports Group could put 'serious money' on the table for a huge January transfer, it's been claimed.
bwana wee alikua hajakaribishwa rasmi EPL maana hii ligi muda wote inabidi wachezaji kua makini vinginevyo ni kilio...sioni akija kurudia lile kosa hata kidogo maana hata yeye hakuelewa namna ganiNakumbuka wakati wa game ya Brighton tulitoa comments kuhusu jamaa anavyocheza na mpira tukasema inabidi afungishe goli ili akili imkae sawa, next game akafungisha na mpaka leo hajarudia tena zile mbwembwe.
Barca wanasema anaemuhitaji afike dau la release clause kama sikosei ni £300m or Usd 300m...Wakuu hii ishu ya dembele kutaka kuondoka barca nadhani liver tungeliwahi hili donge tungekuja kuwa na front kali sanaa kuwahi kutokea hii dunia
Salah angerud kati kama 9 dembele7 na mane11 pembeni
Boby arud 10
Fekir bana Lyon wanampango wa kumuongeza mkataba na sina uhakika kama ni priority tena kwa Klopp...Liverpool owners Fenway Sports Group could put 'serious money' on the table for a huge January transfer, it's been claimed.
Hii ni budget ya tim kabisa kama Newcastle mkuu £300???Barca wanasema anaemuhitaji afike dau la release clause kama sikosei ni £300m or Usd 300m...
Ndogo ana kiburi fulani kuchelewa kufika mazoezini zaidi ya mara moja..
aidha anafanya kusudi auzwe au la sijui ila kwa hio bei watasubiri sana...
bwana wee alikua hajakaribishwa rasmi EPL maana hii ligi muda wote inabidi wachezaji kua makini vinginevyo ni kilio...sioni akija kurudia lile kosa hata kidogo maana hata yeye hakuelewa namna gani
Ienacho alivyompora ule mpira....
Wakuu hii ishu ya dembele kutaka kuondoka barca nadhani liver tungeliwahi hili donge tungekuja kuwa na front kali sanaa kuwahi kutokea hii dunia
Salah angerud kati kama 9 dembele7 na mane11 pembeni
Boby arud 10
Klopp on injuries.
"It's our situation. Crisis is only a crisis if you feel it. Trent is not as serious as the other two boys, but it's not top class news! It was unlucky as well, like with Joel. It was in the last seconds of the game." #LFC #MUFC