Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
December
√ 16 – Manchester United (H) → We Must Win
√ 21 – Wolverhampton Wanderers (A) → We Must Win
√ 26 – Newcastle United (H) → We Must Win
√ 29 - Arsenal (H) → We Must Win
January
√ 3 – Manchester City (A) → Draw is enough
√ 13 points out of 15
wolves wale bwana kwa big 6 teams wamekuja kivingine, kwanza hawana papara kama timu zingine, utadhani wenyewe wapo kwenye ubingwa wa EPL....kiama chako tar 29 dec..........wolver nao hawakuachi salama
The difference of 1pt kwa epl December hausaidii Sana kukupa clue ya utamalizaje. Cheza na Man U na Wolves kwanzaI know that! We shall fight at all three fronts (CL, EPL and FA)....
The most difficult fixtures Ni hii December only lakini after this we will have nothing to fear.
If we can stay at the top of PL mpaka mwisho Wa hii December tu, I believe we'll achieve something mwisho Wa huu msimu.
hakikaThe difference of 1pt kwa epl December hausaidii Sana kukupa clue ya utamalizaje. Cheza na Man U na Wolves kwanza
Ndio kwanza mechi ya 16 una tapatapa ingekuwa mechi ya 35 je???? Nina uhakika ungekuwa ICU unapumulia mashinehakika
hii gemu ya vs Napoli inanikumbusha ile gemu ya Champions Legue ya Livapool vs Olympiakos pale Anfield 2004, walitufunga goli moja ikatubidi tufunge 3 ili kusonga mbele na kwa kweli zilipatikana nakumbuka Anfield ililipuka kwa shangwe nategemea Jumatano hii baada ya kukamilisha ratiba na kuingia 16 bora uwanja utalipuka ni full raha...
Anfield is made of this occasion man they dont fail the team wen needed...
YNWA
Tena asiwepo kabisa...Yule Ni mpenzi mtazamajiNilitemea kuona unamalizia ili mradi tu Henderson asiwepo....
Mimi nina uhakika Man united lazima watawakalisha.Unbeaten run iishe kwa timu ingine (if happen) lakin siyo kwa Man U itaniumiza sana
Pony tail... Naona mnawashwaNapoli Leo anaua panya aitwae Liverpool