OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,315
Mkuu kwa sasa Liverpool wana nafasi kubwa tu ya kubeba EPL kama Klopp atajua nini anataka. Asipoweza kubeba msimu huu, basi itakuwa ngumu sana kubeba next season...soka linaenda kwa era nyinyi mtasubiri mpaka Miaka 30 mbona unayo haraka? city na Chelsea acha wabadilishane ubingwa wewe ulijirimbikizia zamani hauna nguvu hizo unajitahidi tu ,tupo hapa tutaendelea kukumbushana itakapofika may, tuombe uzima tu
Mkuu umeongea kweli uwa najizuia sana kucomment kwenye uzi huu naona kuna malumbano mengi dhini ya timu yetu pendwa lakini nitatoa ukimya leo kwa kusema neno moja tuMkuu kwa sasa Liverpool wana nafasi kubwa tu ya kubeba EPL kama Klopp atajua nini anataka. Asipoweza kubeba msimu huu, basi itakuwa ngumu sana kubeba next season...
Nafasi wanayo saivi...Japo ni bado mapema.!
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Semeni ahsante kaka
And are there any targets leaked so far by the top management?!City are nothing without Ferna,
their intensity regressed massively baada ya ile slight injury..
De Jong joining PSG, so can see Pep going big on Ndombele this January..
and he will go big on another Left back pia..
we need to dip in the market pia for an attacking player and a young RB.
but here's hoping City watabanwa na their FFP scandal, na kushindwa kuspend big this january.
And are there any targets leaked so far by the top management?!
Mine is Allison/milner/matip/vvd/Robertson/gini/keita/fabinho/salah/Bobby/maneMy preferred team against Napoli
Allison-TAA-Matip-VVD-Robertson/Fabinho-Keita/Shaqiri-Mane-Firmino/Salah
but wont be suprised to see Henderson and Milner in the midfield.
Kichaa chako hakitapona kamwe. Ukumbuke post hii mwezi may.Mwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
TAA kwa Napoli atachemka, bora acheze Milner hapo kwa TAA kama alivyofanya against AFC Bournemouth.My preferred team against Napoli
Allison-TAA-Matip-VVD-Robertson/Fabinho-Keita/Shaqiri-Mane-Firmino/Salah
but wont be suprised to see Henderson and Milner in the midfield.