Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

A
Kwamba arsenal watafungwa?

Ulikuja emirates kwa kutamba,

Kilichotokea uliomba mpira uishe

Endelea kukariri, soon unatoka hapo juu, unarud nafas zako

Na napoli anakuja kukupeleka futuhi

FA huendi popote,

Mnamaliza TEOPHILESS mnakufaaaa

Arsena ni team dhaifu sana EPL.
 
Kwamba arsenal watafungwa?

Ulikuja emirates kwa kutamba,

Kilichotokea uliomba mpira uishe

Endelea kukariri, soon unatoka hapo juu, unarud nafas zako

Na napoli anakuja kukupeleka futuhi

FA huendi popote,

Mnamaliza TEOPHILESS mnakufaaaa
Endelea kupiga ramli tu! Wale jamaa mmezoea kuwauzia wanawaita OT hapo J5, baada ya hapo nafikiri utakua kwenye nafasi yenu sahihi
 
Luka Modric has won the 2018 Ballon d'Or ahead of Cristiano Ronaldo and Antoine Griezman, with Lionel Messi coming fifth.
 
Apumzike kidgo angalau mechi mbili hivi. huyupo kwenye form sasaivi lbda huenda ni uchovu

Kumpunzika huku ndio chanzo cha kudrop points.

Kesho Mane hachez, basi Salah na firmino waanze ili angalau wakishapiga magoli na uhakika wa 3 points ndo sub ifanyike
 
Kumpunzika huku ndio chanzo cha kudrop points.

Kesho Mane hachez, basi Salah na firmino waanze ili angalau wakishapiga magoli na uhakika wa 3 points ndo sub ifanyike
Kwanini Mane hachezi kesho? Kuna shida gani?
 
NI VEMA UNGELIKWENDA KUMWAMBIA BABA YAKO HAYA MANENO NAHISI YANGELIMSAIDIA SANA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…