Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hapa ndio nimeona upumbavu wa marefa wa kibongo dadadeki goli kama hili lilifungwa na MO IBRAHIM wa simba wakalikataa wakasema ni offside daaah sisi tuna safari ndefu sana
Marefa wa bongo wanasafari ndefu sana
 
wakuu naombeni clip ya goli kuanzia kwa VVD iliyotumwa inaonekana ndogo sana cjui tatizo ni nn
 
Inapendeza mkiwapo watu kama nyinyi mana wengine tunamakengeza mbaya zaidi hata ukiona jinsi ya kueleza ni mtihani huo ndo ukweli nilitamani sana ni mjibu tangu jana ila nimeshindwa nikatamani nitukane tu nikajikuta sijawahi fanya hivyo.

Kuna watu wanazani kukimbia kimbia uwanjani ndo kujituma bila kujiuliza kafanya nini?

Kitu pekee nlicho kiona kwa Faby ni mbio hana baasi
 
Walimpoteza na Wanamrudisha

Natumai ni back up nzuri tu kama akibaki ana speed anakimo hata kufunga hafanani na Solanke.

King Ngwaba hamkubali nahisi kiwango kibovu alicho unyesha kule wolvobag.kule saikolojia haikua nzuri mana alikua na matumaini makubwa ghafla yakashwa kwa dharau lazima uharibikiwe. Dakika hata kumi hana nazani tayali anagoli muhimu hafanani na Salanke kabisaaaa.
 
Umesahau dakika 2 alizojilaza mchezaji wenu na sub za dakika ya 94, refa alikuwa fair kabisa

Naona kasahau au mechi hakuangalia kabisa. Katika dakka4 zilizoongezwa, Everton walitumia dakka2 na sekunde 40 kujilaza chini na kufanya sub ilimrad muda uende plus ugomvi kwa gomez.

Kumbe refa tayar alikuwa kawasoma akawa amesimamisha muda.
 
Liverpool Fc so far this season after 14 matches played in the English Premier League :
_
🔴 2nd in the EPL with 36 pts
🔴 11 Wins & 3 Draws
🔴 9 Clean sheets
🔴 Still Unbeaten in the EPL.
🔴 Best Defense with only 5 goals conceded
🔴 Best unbeaten run home record-28 matches
#YNWA💪💪💪💪
 
Amka acha kuota ww
 
mimi nlikuwa nishaondoka bandani kwa kujua loserfool washapoteza point mbili kumbe hili lirefa lilikuwa linasubiri jamaa wapate kagoli kandondokela poor refa
Walipoteza muda dakik za nyongeza thus y refa alivuta muda kidogo kama inauma chomoa
 
Mkuu ukute ni mwanafunz wa form one huyo maana ndo wenye tim kama man city , PSG so achana naee
 
I guess its the right time now! Klopp a stick na defense aliyo idemonstrate mwenyewe since pre-season na ikakubal
Robertson-VVD-Gomez-TAA

Ushindi wetu in most games unaanzia kwao.. sijamkataa Lovren(hasa nkikumbuka mchango wake kwenye UCL vs madrid though tuliloose, ila for now natamani abak kwa ajili ya FA tu

Kwenye suala la Gengenpressing nakubaliana na nyie guys its time tuiache ili isicost injuries though to me naikubal sana mpaka kesho(refer game zetu zote vs Man city)

All in all Klopp ni tactical kwenye sub hasa after impression ya wachezaji wote + Klopp after lile goli. You can see that these guys mwaka huu wanapambana sana!
Kudos to them all
 
tatizo lenu ni hapo tu huwa hamuangalii chanzo.....wewe unaenjoy sisi tukiitwa as-anal ila ww ukiitwa loserfool ni ttz tayar kikubwa tu uelewe kila mtu ana sababu zake za kupenda kile anachoshabikia na huo ni utani tu wakishabiki wala hatupigani mawe hapa ...kuwa na amani mkuu.......................sijaona tusi nililotukana hapo na kama nimewakwaza plz MNISAMEHE bure kwani mm soka ndio furaha yangu na utani wa hapa na pale ila wewe ungekuwa una battle na watu dizain ya HAJI MANARA hakika unaweza kurusha ngumi.............

MPIRA SIO VITA NA RAHA YA MPIRA KWA SISI WASHABIKI NI HIZI TAMBO NA UTANI WA HAPA NA PALE

sorry mkuu kama nimekukwaza ila naomba kukazia kidogo

ukiishi kwenye nyumba ya vioo usichokoze ugomvi wa mawe
 
Jurgen Klopp has been charged with misconduct by the FA following his celebrations on the pitch against Everton. He is likely to accept the charge, which would result in a fine and a warning as to his future conduct.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…