Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Jifunze kuandika bila kupayuka bosi.
 
kwa kiwango cha leo midfield sioni Henderson ikibaki benchi...
this boys should take thier chances wen given..
Evaton played realy well...
japo tumeshinda ila kwa kweli Mane vs Evaton sijui ana gundu gani...
YNWA
 
Fact...
 
Wahuni wanasemaga "Kama inauma chomoa"
[emoji16][emoji16][emoji16]
Timu gani sio ya kawaidai hapa duniani
 

Timu yetu ya Kawaida: Lakini ipo juu ya Arsenal
Ass-anal Ni bora lakini ipo chini ya Liverpool kwenye Table.
 
nikipata chance ya kukutana na hivi vihande katika nyakati hizi nitajipigia sana
 
k
kila timu hufungwo aidha sisi ni kawaida hakuna noma ....timu inatupa raha na maumivu wakati mwingine ndio raha ya mpira ndugu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…