Faby katika mechi alizotumika moja ndo kacheza vibaya tena kwa nilivyo una mimi kocha ndo kachangia ubovu wake labda unikosoe.Fabinho toa hapo....
Fabinho PSG wanamtaka na wameanza mazungumzo na Liverpoolfabinho ndio yule aliyekuwa anazurula against ARSENAL pale EMIRATES? dahhhhhhhhhhh kweli ukiona chongo huita kengeza yule flopper mid ndo wa kumcompare na le capitain HENDO dahhhhhh acheni chuki za kishamba,
Kama ataendeleza ujinga wake huu basi
Nitafikia hatua nitasema
Hivii
KLOPP OUT atuachie LFC yetu
Hendo wakumpiga bench-faby\keita\
Haha kwa kocha mwenye akil huwa anamcheka sana klopp maana unabunduki ndan manat ya nini
Mbona hueleweki braza... Sielewi unatetea lipi unaponda lipi...Sijaona makosa
Liver kadorminate thus y tuchel aliingiza bek na viungo baad ya kuliona hilo
Zaid ROBO ajirekebishe tu kwenye finishing pass bas
Kwa mechi zote 13 za msimu huu (tangu July) walizochezea uwanja wao wa nyumbani wa Parc des Princes , PSG wameshinda 12 na kutoa sare na Napoli 1-1. Kwa recodi hii ushindi wa LFC sana sana ungekuwa drawWatu wengi mnailaumu LFC bila kuangalia ubora wa wapinzani wao. PSG ni timu nzuri hasa wakicheza team work.
Malafale anakwambia msimu huu tunacheza vizuri zaidi kuliko last seasonHivi kwanini Liverpool mmeacha soka lenu kama la msimu uliopita?
Hata 1-0 itawasaidiaYan umfunge Napoli kwa tofauti ya goli mbili.? Acha utani mkuu
Hahahahahah, huyo anataniaMalafale anakwambia msimu huu tunacheza vizuri zaidi kuliko last season
Kwa mchezaji mmoja mmoja PSG wana wachezaji wengi wenye uwezo mkubwa tatizo lao ni kutokucheza kitimu.Kwa mechi zote 13 za msimu huu (tangu July) walizochezea uwanja wao wa nyumbani wa Parc des Princes , PSG wameshinda 12 na kutoa sare na Napoli 1-1. Kwa recodi hii ushindi wa LFC sana sana ungekuwa draw
MalafyaleHahahahahah, huyo anatania
Msimu uliopita mlikuwa mnacheza vizuri sana, pressing ya hali ya juu, pasi za haraka, na nafasi za kufunga mlikuwa mnatengeneza nyingi zaidi. Hata Man City alikuwa anapata tabu sana mlipocheza ule mpira wenu dhidi yao.
Baada ya usajili wa January na Summer nikajua sasa Liver mtakuwa hamshikiki
Hata 1-0 itawasaidia
Kwa hiyo ulitaka apangwe big match tena...Faby katika mechi alizotumika moja ndo kacheza vibaya tena kwa nilivyo una mimi kocha ndo kachangia ubovu wake labda unikosoe.
Mechi ya Asenal alipangwa namba nane badala ya sita Gini alipangwa sita badala ya nane labda nipewe mtazamo tufauti na nilivyo ona ndo ntakubali kama alibilonga hiyo mechi
Ukizangatia hana mechi nyingi na ile ni big mech.
Southern HighlandWont take them anywhere.
Usichoke kuwaelekeza watu kama hao akina Southern Highland hawajui chochote kuhusu mpiraSouthern Highland
Liverpool wakishinda 1-0 vs Napoli watakuwa wamefungana karibu kila aspect except magoli ya kufunga ambayo LFC wanayo mengi kuliko Napoli. Napoli wamefunga 7 na LFC 8 wakifunga 1 inakuwa wamefunag 9 hii ndio criteria ya pili ya UEFA kwa timu zilizofungana point baada ya ile ya kufunga. LFC wakishinda kwa tofauti ya goli moja mbali na 1-0 ndio watatolewa kwa sababu ya goli la ugenini
Swala kupangwa ni la kocha hapo nimetoa maoni yangu hana ubovu huo wa kutolewa kwamana bado hatuja muona vya kutosha tukajirizisha kama kweli ni mbovuKwa hiyo ulitaka apangwe big match tena...
Acha kukaza ubongo post ya kwanza nili pinga uwepo wa hendo ya pil nikipinga maamuz ya klopp nin hujaelewaMbona hueleweki braza... Sielewi unatetea lipi unaponda lipi...
Kufunga inakua shida kubwa kama viungo hawapandishi mipiraShida kubwa ya LFC ni ushambuliaji
Mechi nyingi few or zero shot on target
Hata mechi na Napoli LFC walikuwa na shot on target =0 total 4 wakati wenzao walishoot mara 5 total 19