Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu dizaini kama umekurupukia post ya Ngwaba
Kwenye michango yake Mara kadhaa anasema mchezaji flani ni wa kawaida sana, sio level ya club hii

Sa me nasimama hapa tu kwny uchezaji wa kawaida sana, je kuna club isio na mchezaji wa kawaida sana?
 
Ulicho maanisha upo sahihi kabisa nakubaliana na hilo.
Tufauti yetu kwa mimi nimuonavyo Anartovic hajamzidi sana Origi ndomana nikatilia shaka.

Team yetu haiamini vijana mara nyingi huuzwa.
Kuna walionyesha uwezo kwenye mechi za maandalizi ya msimu ambao kwa mechi zenye ushindi mkubwa wanastahili kuingizwa ajabu anaamshwa Milner aingie.
 
wewe ni zuzu ,maana sioni cha maana ulichoandika hapo
 
Gini: It's not about stats, it's about winning something
 
TAA na Robbo wangekuwa na target at least kama ya Asante Kwasi wangeisaidia sana attacking line.Sadly wote wawili wako poor kwenye hilo.Hasa Robbo,ana pace na kukimbia na mpira vizuri sana.Tatizo ni pale anapoamua kushuti.Hatofautiani sana na Moreno kwenye hilo la kushuti
 

Angalau hatutosumbuka tena kwenda Kuwasoma Liverpool Echo kumbe Echo tunao hapahapa Katika Uzi.
 

Kwa Kukukumbusha tu ni Kuwa Liverpool kwa Miaka ya Karibuni (tokea mfumo wa EPL uasisiwe) haijawahi kumuamini Kijana asiyekuwa Mbritish.

Na ndiyomana Wameandaliwa Gomez na TAA, na Solanke alilazimishwa Kubebwa lakini Kafeli...
Na Kuna wengine ambao wanaandaliwa Kuaminiwa kama Wilson na Brewster.

Kwahiyo nadhani ni End of Discussion
 
Ila Robb anatengeneza sana nafasi Taa ndo tatizo
 
Ila Robb anatengeneza sana nafasi Taa ndo tatizo
The kid is very good meen if you know what am talking about.Shooting on target is my main concern here...Amid his pace he get a lot of those chances but all become out of target...
 
The kid is very good meen if you know what am talking about.Shooting on target is my main concern here...Amid his pace he get a lot of those chances but all become out of target...
Jana kafunga team ya taifa.
 
Ok..he is now good in shooting on target just because he scored yestetday....
Haha haa bado sana hua anajarbu tu alishafungaga faulo na Dortmond mpaka leo hajafunga tena na anazikimbilia sana kupiga ila wapi.

Afunge tena na tena ndo tutamuita mzuli
 
Haha haa bado sana hua anajarbu tu alishafungaga faulo na Dortmond mpaka leo hajafunga tena na anazikimbilia sana kupiga ila wapi.

Afunge tena na tena ndo tutamuita mzuli
Alaf nilidhani Scotland wanacheza leo man..na jana wamecheza pia?
 
Kwenye ukuta wa Liverpool nguzo ni Joseph gomes tu wengine wote mizigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…