Chatu wa Chatto
Member
- Nov 11, 2018
- 19
- 22
Timu hii haiwezi kubadilika labda dirisha Dogo tuongeze viungo wawili watatu Wa maana make pale viungo magarasa ni wengi sana aliowakuta na aliosajili klop mwenyewe tutaendelea kushinda kibahati bahati mwanzo mwishoHii timu inabidi tuizoee tuu, kiwango cha uwanjani kipo chini sana..
Kila siku tunasema kesho watabadilika lakini wapi...
Gemu tunashinda sawa ila kibahati nasibu sana gemu tuliyocheza vizuri ni ile ya Kwanza tu dhidi ya west ham kwa kweli pale kati klop ana magarasa mia 5Sijawahi iona Liverpool kama hii kwa kweli!
Teams ndogo zilizokuwa zinatushinda tunazipiga
9 W kutoka ktk avarage teams lkn bado Klopp anatukanwa
Sijui wanataka afanye nn sasa,draw zetu tatu ni za wakubwa wenzetu
Klopp anajua kufundisha mpira wenye husda mtakufa mapema!
Tuonane 24 Nov nyumbani kwa Watford
Misimu yote tangu klop aje tumecheza vyema sana kuliko msimu huu sema tu tuna defense nzuri inatubeba ila mpra msimu huu tunacheza mpira Wa hovyo na tunashinda kwa bahati tuMwaka gani Liverpool ilicheza vyema kuliko mwaka huu?
Tunaomba hizo stats zake hapa pls!Team ina W 9 na draw 3 haina L lkn eti ina kiwango kibovu?
Kweli kua uyaone aisee
Nafurahia tu comments zenu wakuu, so far the only thing that gives me hope ni kwamba hatujapoteza mchezo hata mmoja. 9W and 3D.
YNWA...!
Wakuu Skysports wameripot kuwa Klopp anamwinda Rashford wa Man U anataka anamsajil msimu ujao.
Swali la
That's liverpool.
Sawa sawa kabisa tunashinda kwa bahati ila wengine wao hawashindi kwa bahatiMisimu yote tangu klop aje tumecheza vyema sana kuliko msimu huu sema tu tuna defense nzuri inatubeba ila mpra msimu huu tunacheza mpira Wa hovyo na tunashinda kwa bahati tu
Mbona tunaendelea kushinda na magalasa?Namhurumia klop ataonekana kocha Wa hovyo coz option ya mido alizonazo ndo hayo hayo magalasa mido wenye akili ndo hivo tena majeraha yamewapenda zaidi
Hivi huwa unasomaga unachoandika?Sijapata ona Liverpool iliyo kamili kila idara kama hii ktk modern football era!
Tupo sawa kuanzia kwa kipa hadi mbele
Walete Watford watu wenye hila wazidi kununa
In Klopp we trust!
Kwa gini na Fabinho naomba ntofautiane na wwUkweli mchungu tunaotakiwa kuujua wanaliver hawa jamaa ni magalasa lallana, wijndrum, Henderson, fabinho, hapa hatuna middle kabisa wengine klop kawaleta na wengine kawakuta huwa wanabebwa tu na wachezaji wenzao!
Wijnaldum ni garasa? Seriously mkuu unamaanisha ulichokiandika? [emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli mchungu tunaotakiwa kuujua wanaliver hawa jamaa ni magalasa lallana, wijndrum, Henderson, fabinho, hapa hatuna middle kabisa wengine klop kawaleta na wengine kawakuta huwa wanabebwa tu na wachezaji wenzao!
Sawa tunyanyue kwapa msimi huu kama kweli tuna bahati kua naeWorth to ready!
Sio zile takataka ndefu kutoka kwa wale wanaodhani wanajua soka management kuliko hata Klopp wkt hata team ya kijiji kwao Ikwiriri hawajawahi kupewa!
Captain Marvelous:
Klopp ni kocha mwenye ujuzi wa hali ya juu sana ktk soka,we re very luck to have him as our Manager
Shaqir HAWEZI kuwa ahead ya Milner kwa sababu Shaqir HAKABI wala hapigi tackles mzuri tu kwenye kushambulia!Unapocheza na team inayo shambulia lzm aanze Milner,unapo cheza na teams kama hizi Fulham ambazo unajua kabisa wata seat deep kujihami wasifungwe nyingi atacheza Shaqir
Unacheza na PSG au Totenham au Arsenal au Napoli au Man City ukimpanga Shaqir mechi imeisha tumefungwa!
Lkn wengi hapa wala haijulikani husuda kwa kocha anayetupa mambo ya maana kama Klopp wanaipata wapi!
Mm isha wapuuza kitambo
Kuna mtu mmoja hataki team ikosolewe hata kiduchu halafu anaamini Kloop hakosei kabsaaa yani.mbona mimi sioni mantiki ya nyie kulumbana wakati timu ikifungwa wote mnakuwa kwenye majonzi,cha maana ni kuwa na degree of tolerance ktk maoni ya kila m1 as long as kila m1 wenu anataka timu ifanye vyema