Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa mbona Gini ameganda sana kulia nyma zaidi ya faby nionavyo Gini akipangwa juu team inacheza vyema?

Faby kapewa kazi kubwa badala ya Gini ambae ni mwenyeji hii imekaaje?

Ndiyo DM wanapokuwa 2 mmoja kulia na mwengine kushoto, hata hivyo upande Wa Kulia TAA analeak sana ndiyomana Gini ameegemea zaidi kwa Msada.
 
our present team reminds me of Fergie's United which used to play woefully like this but picking up crucial points, only to become a different animal from the new year until the EPL crown in May.

am not worried one bit as long as we're winning. am sure come January we'll be back to our fluent best.

believe!
 
Ndiyo DM wanapokuwa 2 mmoja kulia na mwengine kushoto, hata hivyo upande Wa Kulia TAA analeak sana ndiyomana Gini ameegemea zaidi kwa Msada.
Kwa maanaa hiyo kocha anaamua kudhoofisha tim kumlinda mchezaji kweli?
Nnamashaka na kocha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…