Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 678
- 1,023
Leo ngoja niseme kwa mara ya kwanza huyu kocha fala tu hatufiki popote, sehemu yeyote unapoweka hisia zako mbele huku ukiacha professionalism pembeni lazima uwe kitukoWhat a fool!!
Unamuweka Lallana kweli unamuacha Keita/Fabihno??
Of course fanyeni mpango mumrudishe viunga vya anfield mtapata taaaabu saaaanaAngalia soka letu la msimu uliopita na sasa utajua kuwa Buvac ni muhimu
Anajidhalilisha na Nini Tena mkuu.Klopp alijijengea Heshima nzuri lakini anaishia Kujidhalilisha bure
Nilioona tu kikosi, nikajua kocha kafany kusudiVery disappointed with first half display
Sa nyingine huwa siamini kama kuna kikombe chochote tutakuja kushinda kwa kocha huyu....very poor team selection
Anatuchosha sasa. Kweli badala ya kuhakikisha mechi kama hii tunashinda ili tuwe mahali salama, unaenda kuweka Lallana na Matip - shitholes! Middle haionekani ipo wapi na inafanya nini! Yani shambolic play.Yaani mkuu hadi inakera
Its true. Milner n Gini aint creative dudes. Lallana ni disaster. Angalau Shakiri na Ox wanaipa uhai forward kwa their efforts.Binadamu unafki ni jadi yetu lakini kuwa mnafki ili mradi huvunji sheria... tangu kaondoka C10 hatuna kiungo mbunifu japokuwa Ox alijitahid sana kucover ile nafasi
TrueHapa matip ndo kiazi kabisa bora hata angechezwa lovren
Broh apparently what we lack is decisive coach not playerswe can still do something here
just need to defend better
A coach, 3 years now, does not know his first eleven.
[emoji23] [emoji23] [emoji23].. Mzee ulimpa direct win nini!?Utadhani wamehongwa ! Watu wa mikeka ndo tunaoumia ingawa sio mashabiki wa liverpool