Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,374
Mkuu kumbuka Mourihno mzuri wa hizi game kubwa...Msimu uliopita City alifungwa na United umesahau...
Chelsea alipata draw na United dakika ya mwisho.
Nakubali .............. sijawahi kumkubali Henderson lakini Kwa nilichokiona leo Henderson arudi tuThe weak link for Liverpool today, is their midfield. I don't know what's wrong with Fabinho but he is unable to match with Premier League's quick pace. No wonder why he wasn't getting any playing time. He is too slow for PL
#ARSLIV
TAA hakuwa na mchezo mzuri tokea msimu huu ulipoanza lakini Clyne naye Ni majanga zaidi kama Moreno.
Najua ni ngumu Man u kutamba mbele ya city lakini hakuna namna adui lazima aombewe njaa.
Kingine kinachotubeba game saba zijazo zote tunauhakika wa kubeba points kikubwa tuombee tu majeruhi yasitupate na wachezaji waimprove yani mtu kama firmino hajaperform vizur game za karibuni
Acha kuhadithiwa njoo uishuhudie Chelsea wewe. Vs Burnley tumewapiga 4 bila Hazard kuwepo. Kama ingekua kubahatisha basi ingekua walau hata moja hiyo ni bila Hazard. Alikua majeruhi amekuja timu ilikua inashinda alivyorudi yeye akaongeza ushindi. Hivi hamuyaoni yote hayo.?
Performance ya Arsenal leo imenishangaza, wamenikumbusha game ya Napoli...
Bado niko hapa nasubiri mchango wa Shaqiri kwa Liverpool. Maana kuna siku niliwahi kusema nikaambiwa simjui vizuri. Usajili mbovu hamtaki kuamini.
Bakayoko=Fabinho
Hapana mkuu, shaqiri anajua ,sema apewi sana airtimeBado niko hapa nasubiri mchango wa Shaqiri kwa Liverpool. Maana kuna siku niliwahi kusema nikaambiwa simjui vizuri. Usajili mbovu hamtaki kuamini.
Viungo wao wote wameupiga mpira mkubwa
Tukumbuke Kuwa This season mpaka sasa tupo Unbeaten!
Tumetika sare na:-
Chelsea
Man City
Arsenal
Na wala hatujatoka Sare na Fulham! Kwahiyo hiyo sio progress ndogo.
mimi nina uhakika tutabeba EPL msimu huu. timu hii inacheza kiutu uzima sana, especially ukiiangalia without the ball.Upuu
Ni upuuzi na uzwazwa kujisifu unbeaten ilihal hatuwez kuzifunga big teams! Kwa hali hii hatuwez kubeba EPL wa UEfa sababu ili uweze kutwaa mataji hayo ni lazima uwe na mkakati wa ziada wa kuweza kuzifunga big teams.
Kitu kikubwa klopp hakujiandaa kushinda leo, hasa kwenye subs, mtu kama shaqir alitakiwa aingie mapema kama sio kuanza kabisa sababu imethibitika kuwa yeye ndio ana uwezo wa kuwachezesha Mane, salah na firmino.
Kuna wachezaj game changers kama sturrge ilibid waingizwe kama sub kwa ajil ya kupresharazi
Muda mwingine unahitaji kumheshimu mpinzani wako Manchester city ali drop 2 point kwa Wolverhampton nani aliyetegemeaHakuna cha uzuri wala ubaya. Hii game Man City ana 97% za ushindi, draw ni 2% na Man U kushinda ni 1%. Nasema ivyo haijalishi nani yuko ugenini au nyumbani.
Ni maoni yangu mimi.
Fabinho ni mchezaji wa kawaida sana hawez kulinganishwa na emre hata kidogo.yaan jamaa anauogopa mpira anakaba na macho wakat yeye ni namba 6.yule hawez kuhimili presha za viungo wa timu kubwa. Mm naona Leo yeye ndo kazingua amesababisha hadi gini kaflop
Mkuu bado ni Mapema sana kutoa hitimisho hilo..Game ya Leo imemkataa jamaa lakini haina maana ni mbovu..Fabinho ni mchezaji wa kawaida sana hawez kulinganishwa na emre hata kidogo.yaan jamaa anauogopa mpira anakaba na macho wakat yeye ni namba 6.yule hawez kuhimili presha za viungo wa timu kubwa. Mm naona Leo yeye ndo kazingua amesababisha hadi gini kaflop
Upuu
Ni upuuzi na uzwazwa kujisifu unbeaten ilihal hatuwez kuzifunga big teams! Kwa hali hii hatuwez kubeba EPL wa UEfa sababu ili uweze kutwaa mataji hayo ni lazima uwe na mkakati wa ziada wa kuweza kuzifunga big teams.
Kitu kikubwa klopp hakujiandaa kushinda leo, hasa kwenye subs, mtu kama shaqir alitakiwa aingie mapema kama sio kuanza kabisa sababu imethibitika kuwa yeye ndio ana uwezo wa kuwachezesha Mane, salah na firmino.
Kuna wachezaj game changers kama sturrge ilibid waingizwe kama sub kwa ajil ya kupresharazi