Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Robo ipi hio unayoongelea wewe! Wewe umetolewa na barca hatua ya mtoano kama manu! Barca katolewa robo na roma!
wrong...... hio ni ya bénitez sio rodgersPamoja na hivyo, poor coaching ilikuwa issue kubwa, game ya Chelsea tulitakiwa Kuwa na plan ya 1 point+, na siyo kutafuta 3 points.
wrong...... hio ni ya bénitez sio rodgers
Haileti mantiki kabisa wafu kujibizana na walio hai team ilianza 1892 ikafa 1990 ,na nyingine ilianzishwa 2004 mpaka sasa iko hai mashabiki wa team hizi hawapaswi kubishana kabisa naunga mkono hoja.Siku utakayofahamu kuwa Kujibizana na Rant Boys Wa Chelsea Ni Kupoteza Muda basi utajifunza kitu kikubwa sana.
Haileti Mantiki Mshabiki Wa Timu iliyianzishwa 1892 kujibizana na Mshabiki Wa Timu iliyoanzishwa 2004.
Khe khe khe khe [emoji1787] khe[emoji1787] khe[emoji1787] khe[emoji1787] kheLeo mpigwe ,au msuluhu au mpate majeruhi .
Ni hayo tu
Humu ndani vikombe vyao wameviona kupitia youtube,anayemkaribia hazard kwa kubeba medal trophies ni kijana wetu sturredge tu, team nzima wachezaji hawajui vikombe ni nini ,kushiriki wanaweza kushinda sio lengo lao
Klopp kamuanzisha bench leo[emoji28]Nakubaliana na Peter Crouch kuibuka kwa Xhaqiri Ni kuifanya Front 3 yatu Kuwa kwenye danger kwani Xhaq will force himself to the starting line-up..
So, one of our front 3 ataekwa juu na Xhaq kwani Xhaq anabidii na Ni mbunifu anapokuwa kwenye box ya Opponent.
Kwa nn awapumzishe?Kikosi sio Kibaya Klopp kaamua Kuwapumzisha Gomez na Robertson.
Starting LineUp:
Alisson, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Moreno, Fabinho, Wijnaldum, Lallana, Mane, Salah, Firmino.
Substitutes:
Mignolet, Matip, Gomez, Robertson, Milner, Shaqiri, Sturridge
Klopp kamuanzisha bench leo[emoji28]
Kati lovren na vvd
Kushoto ndo kaniacha hoi kabisa[emoji24]
Kazi zako za kichawi unazifanyia wapi??????
Mbona naona kama mnafungwa?