Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Fabinho kashaanza kuonyesha makali yake.. Sasa tuna mtu sahihi kwenye DM...
JH, that dude spends 90% of the time on the pitch fixing his armband and stroking his hair.. The rest of 10% spent on sideways and backward passes..!!!
Hendo will never be a bench warmer bro
....hiyo ya armband nimecheka mpaka basii !Fabinho kashaanza kuonyesha makali yake.. Sasa tuna mtu sahihi kwenye DM...
JH, that dude spends 90% of the time on the pitch fixing his armband and stroking his hair.. The rest of 10% spent on sideways and backward passes..!!!
Yani mtu anawin 5/5 aerial duels √√√√√
Anacheza 9/12 tackles √√√√√√
Halafu anaekwa Bench na Mtu ambaye katika Career Yake Yote hakuwahi Hata kufikisha 4/12 tackles???? You are not serious Klopp.
Hendo will never be a bench warmer bro
Hongereni kwa ushindi.Tatizo lako una ushabiki maandazi sana jaribu siku moja moja kuwa mwana michezo Toa pongezi panapo stahili
Kwenye Europa hutafika lakini pia Uefa hutofika mbali.Futuhi ndio inatupa kiburi
Maneno ya mkosaji hayo, baki na futuhi lakoKwenye Europa hutafika lakini pia Uefa hutofika mbali.
Did you see the so called Faby? Master of tackles 😀😀😀
maaan!!! Fabinho is top class!!
Ox akirud sjuy anacheza wap kwnye attacking formation maana Gini is also outstanding
Ukimtaja Fabinho tu unanifanya Niende YouTube Nikarudie Kumuangalia Kwa Mara ya 11...
Dah! Huyu Jamaa Ni Mashine Kweli... 😀😀
Naamini James Pearce na Ian Doyle gonna die in vain ...
Fabinho kashaanza kuonyesha makali yake.. Sasa tuna mtu sahihi kwenye DM...
JH, that dude spends 90% of the time on the pitch fixing his armband and stroking his hair.. The rest of 10% spent on sideways and backward passes..!!!
Yaani waliokuwa huko europa viwango vyao sawa yule kipa alikuwa liver kimakosa tu, yaani karius, hazard, samatta, welbeck wote kapu moja tuAliyekuwa kipa namba moja wa Liverpool Karius jana kabamizwa goli mbili matata sana na Tanzanian boy Samatta
Shakiri mpaka sasa ame - assist mechi zake zoote tatu za mwisho. Dhidi ya Chelsea, Huddersfield na Red Star!
You already did....what was ur concerns?Juzi, Faby played 31% of his forward passes to the front-3
I prefer not to speak.