Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Hendo uingereza unambeba na zile promo za JP pale Echo. Alikosea sana BR kumpa kitambaa JH.. Soon the badge will land to it's rightful owner.Yani mtu anawin 5/5 aerial duels √√√√√
Anacheza 9/12 tackles √√√√√√
Halafu anaekwa Bench na Mtu ambaye katika Career Yake Yote hakuwahi Hata kufikisha 4/12 tackles???? You are not serious Klopp.
klopp rarely buy flopps...with tym he will b our midfield king dictating play...th boy has th genes to succed wt us...Ukimtaja Fabinho tu unanifanya Niende YouTube Nikarudie Kumuangalia Kwa Mara ya 11...
Dah! Huyu Jamaa Ni Mashine Kweli... 😀😀
Naamini James Pearce na Ian Doyle gonna die in vain ...
well said...scoring oftenly brings th best in strikers...so far we have done well with defence na jana fab three had a nice game...yajayo yanafurahisha"Attack wins you matches but defence wins you titles"
-sir alex fergerson
"If i have to choose between winning 6 goals in one match and winning six matches with one goal,il choose the later"
wapo kwenye page zao kupiga ramli mechi za leo washinde...Liverpool fans belong to UCL sio Futuhi..Wale Waliotutabiria Kuwa Tunaenda Futuhi (Europa) naona Leo siwaoni.
Sorry mkuu kuwa nje ya hoja, ID yako Loverness wewe ni Ke au Me maana jina limekaa kiutamu utamu hiviFabinho tackling ability passing ability his speed,.. surely aina ya mtu huyu tulimkosa.Who can link between backline and frontline.Big Shaq ananifanya nimsahau sahau Ox mipande yake ya mwisho kwa kina salah ohh delicous.Namuona salah akirudi kwenye scoring ability yke shown last season.Kazi ni kwa front three kua clinical kwenye kufunga kwa nafas zitakazotengenezwa.
YNWA
Mi nazungumzia makombe kwa Liverpool mkuuingekua tupo nafasi ya kumi na vile na UCL hatuna hata pointi ungekua una make sense, ubao unasoma tupo sawa na Manshit wanatuzidi magoli EPL...UCL tupo nafasi ya pili na mzunguko wa kwanza ndio unaisha leo na tutakua kileleni ..hio FA tuongee mwakani ndugu..
na kuhusu UCL tuongee msimu ujao mkafanikiwa kurejea otherwise hamia uzii wa aseno..
YNWA
hapo umesema ukweli maana hatujachukua ubingwa wa EPL kipindi....Mi nazungumzia makombe kwa Liverpool mkuu
Makombe kwenu imekuwa ni tabu sana
Siku zote Liverpool ni wasindikizaji wa bingwa hata kama mko nafasi ya pili na mnalingana point at end of the day nyie sio mabingwa wa EPL hii imejitokeza zaid ya mara moja
Hendo will never be a bench warmer broKatika Jambo Moja Ninalomkumbuka na Kumpa Hedhima Ferguson basi Ni Huu Msemo wake.
Last season Tulipiga watu 4G nyingi sana, tukapiga mtu mpaka 7 lakini Muda kama hii Tulikuwa Nje ya Top 4 na tukiconced magoli mengi kuliko Points zetu.
Kwa Spurs pekee na Mancity muda Kama huu tuliconcede magoli 9 (I hate to say that).
Lakini Mara hii kwa timu hizi mbili Tumeconced Kagoli Kamoja tu.
Yani CB ndiyo kila kitu katika soka.
Bila ya CB bora basi 4G zako hazitakusaidia chochote in case of winning trophies.
Sitojali kushinda kagoli kamoja kila mechi as long as tunaondoka na 3 points na Hendo & Lovren wakiwa Benchwarmers.
Liverpool iliyocheza Jana ndio first XI ya Liverpool.
Mechi mbili za Liverpool zilizopita nimeona Shaqiri anacheza vizuri sana.
Gini ni uhakika nae na ndio zidanne wetu.
Ninathamini mchango wa Hendo sana tena Sana, ila uwezo wake wa kukaba na kusukuma mashambulizi sio mzuri nadhani ni Wakati wa Fabinho (Jana amecheza vizuri anakaba anatoa basi complete nyingi, japo ni slow kidogo)
Keita/Shaqiri for Milner, akae benchi aongeze depth ya kikosi
VVD For captaincy
Nadhani ni muda sahihi kwa Klopp kumpa nafasi Fab,achane na kumwogopa Hendo,anatucost kwenye mechi nyingi wakati mwingine nadhani kwa kiwango kile sasa tunaweza wabana wale Napoli nyumbani ili kujipa nafasi yetu mapema UCLUkimtaja Fabinho tu unanifanya Niende YouTube Nikarudie Kumuangalia Kwa Mara ya 11...
Dah! Huyu Jamaa Ni Mashine Kweli... 😀😀
Naamini James Pearce na Ian Doyle gonna die in vain ...
Yani hovyo kabisa yani. Siwagi na amani kabisa akiwapo.Fabinho kashaanza kuonyesha makali yake.. Sasa tuna mtu sahihi kwenye DM...
JH, that dude spends 90% of the time on the pitch fixing his armband and stroking his hair.. The rest of 10% spent on sideways and backward passes..!!!