Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

31. Remember when we were leading 3-0 at 78th minutes against Crystal Palace and the match ended 3-3 and Suarez crying unconsolably?
 
I love this.
 
Remember all the times Vidic went into pieces against Liverpool (especially against Fernando Torres) that he collected 4 red cards between 2007-2014 against Liverpool?

A record for a player against a single club in the Premier League history.
 
Teh Teh...


Shida iko Kwa viungo wenu ni mabutu, viungo wenu wa kati ni mizigo. Hawafungi hawatoi assist ni mizigo tu
Wewe mwenye viungo wabunifu umefunga bao ngapi?
Uwe una anaglia takwimu kabla hujaandika
Week hii na Hudd tutafunga bao zaidi ya 3
Atakuja Cardif huyo haponi zaidi ya 3
Arsenal akipona sana mbili tofauti
Atakuja Fulham unajua kitakacho mpata
Tutacheza na Watford unajua kabisa matokeo
Liverpool kaisha maliza mechi zote 3 ngumu(SPURS,MAN CITY,CHELSEA)na hatujapoteza
Hicho ndicho kinampa kiwewe hata Pep
Sasa hizi zinakuja Hudd sijui Cardiff watapona?
 
Maneno mengi. 3 years No EPL
 
Klopp kila siku anaitengeneza timu miaka mi3 sasa hivi. Nyie ni wasindikizaji tyu. Hambebi chochote. Chelsea angefukuzwa yule mapema. Ila Liverpool mna moyo
 
Liva msimu kwa kundi lile la UCL sitashangaa mkija ueropa,

Maana yule kibonde kila mtu atakufa naye, shughuri ipo ,game ya 2 kwa psg hakuachi, napoli hakuachi

Karibuni europa
hii inatwa dua la kuku, kama psg nilimfunga kwangu, kwake haniachi, inakuwaje napoli aliyenifunga kwake, kwangu nimuache?
 
Klopp kila siku anaitengeneza timu miaka mi3 sasa hivi. Nyie ni wasindikizaji tyu. Hambebi chochote. Chelsea angefukuzwa yule mapema. Ila Liverpool mna moyo
Alisema ahojiwe baada ya miaka 3

Chelsea lazima ufukuzwe mana unakuta kila kitu kipo ni ufundi wako tu unaachwaje usipotoa kombe?
 
Klopp kila siku anaitengeneza timu miaka mi3 sasa hivi. Nyie ni wasindikizaji tyu. Hambebi chochote. Chelsea angefukuzwa yule mapema. Ila Liverpool mna moyo
Kwa hiyo SARRI-BALL pia mtamfukuza mwishoni wa msimu?
Sababu hawezi shinda lolote la maana labda FA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Khaaa mheshimiwa diwani weekend hii kwanza imagines
 
Uyo historia imemjaa kichwani.
 
Shaqiri ameshapata mechi kama tatu au nne hivi za kuprove kama anaiweza mikoba ya Salah wa msimu uliopita. Hivi ikitokea Shaqiri nae yakamkuta(Siombei bali nawaza tu) ni nani atawekwa Right wing?
 
Tunampa muda. Ana miezi miwili lakn philosophy yake imeanza kuwaingia wachezaji. Tusubr. Na nyie bado mnampa mda Klopp?
Kwa hiyo SARRI-BALL pia mtamfukuza mwishoni wa msimu?
Sababu hawezi shinda lolote la maana labda FA
 
Salah
Mane
Keita
VVD


Wote Ni Majeruhi Kwa Sasa ingawa None of them anamajeruhi Ya Muda Mrefu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…