Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie Arsenal mmeekwa kwenye kundi gani na timu kubwa hapo UEFA?
 
Kwenye kundi la UEFA wewe wangapi? Ilishakuwa timu ndogo mpaka Klopp alipokuja then at the same time unasema hajafanya kitu, na ilipokuwa timu ndogo.ukaizidi kombe gani mpaka sasa wewe timu kubwa ya muda wote?
Toka mwaka 1990 hulijui kombe la ligi,

Toka 2011 hujui kombe lolote

Umesteuggle kuipata nafas ya europa kumbuka ulikuwa unamaliza nafas ya 7, ukasahaulika kwenye ulimwengu wa soka,

Ndio maana UEFA wakaku rank chini, na mpaka sasa Unawekwa pot 3 ,

Atsenal imeenda ueropa bas unaona kama.imepotea ,umesahau liva hata kucheza europa ilikuwa ngumu,?

Hiyo arsenal unayoiona imepotea bado imeendelea kucheza na domestic cup, 3 FA CUPS, 3 COMMUNITY SHIELDS,
 
Kwann Arsenal ilienda Europa?
 
Community shields na FA [emoji23] [emoji23]
 
Community shields na FA [emoji23] [emoji23]
*KLOPP AT LIVERPOOL*

3 years at Merseyside
Money spent = £672M
Trophies [emoji471] = 0
Hugs [emoji847] =18000
Total pressing = 21000

Touchline antics=3400
Unnecessary laughter[emoji16]= 4543
Toothpaste use=150
Spectacles broken=10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1739][emoji1739]
 
Kwan baba ligi iliamza mwaka 90? Wew haukuwepo huko nyuma na ww ukashinda? Haukuwapo na ww ukashinda champions League?
 
Bablai, ebu taja ulichomzidi Liverpool. Title gani yani umemzidi idadi kabatini?
*KLOPP AT LIVERPOOL*

3 years at Merseyside
Money spent = £672M
Trophies [emoji471] = 0
Hugs [emoji847] =18000
Total pressing = 21000

Touchline antics=3400
Unnecessary laughter[emoji16]= 4543
Toothpaste use=150
Spectacles broken=10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1739][emoji1739]
 
Hizo ni Honours zinawekwa meusem ,

Wewe toka 2011 umeweka nini kabatini?

Kuwafunga timu kubwa?
Ebu katazame the successful English clubs, Arsenal ipo wapi na Liver ipo wapi? Na successfulness hupimwa na nn?
 
Jibu swali. Taja kombe ulilomzidi Liver.
 
Historia ilizuka ama ilijengwa? Arsenal haikuwepo kwani
Umeanza kuleta historia tena?

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa

3 years ago today, Liverpool FC named Jurgen Klopp as their new manager.

Since then:
*2015/16: UEFA Europa League runner-up.*
*2017/18: UEFA Champions League runner-up.*

*Carabao Cup Runner up,, we can call him Mr Runner up.*
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547] JK wa 3
 
Mzee baba, liver imeshinda UEFA league lini? Na ww umeshinda mara ya mwisho lin?
 
Successfulness ya timu hupimwa na idadi ya makombe iliyoshinda. Leta takwimu hapa umeshinda makombe mangap na Liver kashinda mangapi.
Mbona unakimbia hoja ?

Mimi nitakwambia leta taji la dhahabu kama...hili ambalo FA waliwatunuku araenal

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…