Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baba kwan tulioanza nao league ni wakubwa? Habari yao unayo, walikula ngapi ngapi?
 
Hao unaowaona wabovu ndio wanaokunyimaga ubingwa toka mwaka 1990,

Arsenal kacheza mech ngumu, lakin now anakupumulia point 2,
 
He is funny.
 
Unazungumzia kutokupoteza ,hata chelsea hajapoteza, wewe ni swala la muda, tu kwasasa Fab3 yako imeshachuja, inamaliza mech na shut on target 0-2

Salah ndio kafikia hapo
 
Mbona hakubadilika kwa city na chelsea? [emoji23][emoji23]
 
UNAI alibadilika kwa PSG na Barca, akala ngapi
 
Hao unaowaona wabovu ndio wanaokunyimaga ubingwa toka mwaka 1990,

Arsenal kacheza mech ngumu, lakin now anakupumulia point 2,
Mechi ngumu ipi mzee baba? Si ukapoteza zote? Liver si kadraw na wakubwa vibonde kawapiga ama nn?
 
Hawez mfunga Manchester huyu.

Kwenye timu yao ninawakubali wachezaji watatu tu: Matteo Gouendouzzi, Ozil na Ramsey

Ukiacha hao Arsenal wana Beki mbovu, Forward mbovu walau kwenye kiungo wapo vizuri
 
Baba si tunaongelea msimu huu au? Tukirudi nyuma ulikulaga nane.
Bas wewe ni shehe yahya, kumbe utamfunga man u ,mm man u nishampiga 8-2 mwaka 1930s ,

Wewe unajiaminisha kabisa utamfunga man u, sawa ni wabovu tungoje
 
Kwenye timu yao ninawakubali wachezaji watatu tu: Matteo Gouendouzzi, Ozil na Ramsey

Ukiacha hao Arsenal wana Beki mbovu, Forward mbovu walau kwenye kiungo wapo vizuri
Forward yako nzuri ina magoli mangapi kulinganisha na ya arsenal mpaka sasa?

Wewe jidanganye ,siutakuja emirates ngoja tuone,

Mm liva nilishai term kama timu ndogo sawa na kina swansea,timu gan toka 2011 huna taji lolote hata ngao ya hisani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…