Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mara ya mwisho kuchukua hayo makombe makubwa ni lini.?
Mimi hata niwe nimeanza kushabikia mpira msimu uliopita atleast ninacho cha kujivunia nimebeba kombe la FA. Wewe unajivunia nini? Msimu huu najivunia nacheza kandanda la kuvutia ulimwengu mzima unajua, wewe unajivunia nini na historia yako.? Historia kila mtu anyo bhana. Sasa hivi zunapambana na present, wewe linda historia yako mimi napambana nitengeneze ya kwangu.
You are talking about history??? Ni historia gani ambayo Chelsea wanayo?
Where was Chelsea before 2004???
You wonβt even find them in google.
Any argument?
Nikweli liver msimu huu hawana kandanda la kuvutia?Mara ya mwisho kuchukua hayo makombe makubwa ni lini.?
Mimi hata niwe nimeanza kushabikia mpira msimu uliopita atleast ninacho cha kujivunia nimebeba kombe la FA. Wewe unajivunia nini? Msimu huu najivunia nacheza kandanda la kuvutia ulimwengu mzima unajua, wewe unajivunia nini na historia yako.? Historia kila mtu anyo bhana. Sasa hivi zunapambana na present, wewe linda historia yako mimi napambana nitengeneze ya kwangu.
Sitegemei hili kuwa swaliNikweli liver msimu huu hawana kandanda la kuvutia?
Hahha yani Wewe unategemea salah na mane ndo wakupe ubingwa hahaha ..Tunashukuru kwa kuelewa ukweli
Rudiger na Luizi hawawezi kukupa ubingwa
Morata hawezi akakupa ubingwa kaka!
Wewe toka unaijua Liverpool nina uhakika hujawai kunyanyua kwapa.You are talking about history??? Ni historia gani ambayo Chelsea wanayo?
Where was Chelsea before 2004???
You wonβt even find them in google.
Any argument?
Bora gari moja linalofanya kazi muda huu kuliko kuwa na magari matano ambayo yamechakaa na hayafanyi kazi tena ila yamebaki tu kuwa maonyesho kwa wajukuu.You are talking about history??? Ni historia gani ambayo Chelsea wanayo?
Where was Chelsea before 2004???
You wonβt even find them in google.
Any argument?
Kwan eden hazard alitokea timu kubwa??? πSORRY TO LIVERPOOL FC,HAYA NDIO MAJIBU YENU.
Baada ya wiki iliyopita kutoa mtazamo wangu kuhusu udhaifu wa Liverpool fc ambao ninaamini utakua ni kikwazo kikubwa kwa wao kurudisha zama zao na kutwaa mataji,kuna maoni na maswali mengi sana wengi walihoji,hasa mashabiki wa Liverpool fc.
Nimeamua niwajibu hivi,
EDEN HAZARD vs Mo SALAH
Jibu ni jepesi tu,Hazard is the World Class player but Salah is not.
Daima hauwezi kumlinganisha mchezaji aliyeisaidia timu yake kutwaa kila aina ya kombe isipokua Champions league (2 Epls,1europa league,FA & league cup) na mchezaji asiye na kikombe chochote katika ligi kubwa ulaya.
Kama ni tuzo binafsi,basi tuzo alizopata Salah msimu uliopita karibu 98% Hazard alishaanza kuzichukua zamani tu,so the answer is so simple.
LIVERPOOL FC HAINA "WORLD CLASS PLAYER"
Mwandishi wa gazeti LA the telegraph Chris Bascombe aliwahi kuelezea definition sahihi ya "world class player" japokua kumekua na discussions kuhusu hili.Katika makala yake aliyoiandika katika gazeti hilo Bascombe aliandika "World class player in football is that player in his/her position,He/She has a great consistency,outstanding consistency,outstanding quality & an ability to win a match for their side on a regular basis whether that from scoring memorable goals or producing defensive masterclass at the back".
Kwa maelezo hayo,Bascombe alihitimisha kwa kuandika Liverpool fc haina World class player.Bascombe kwa maoni yake anaamini Eden Hazard,David de Gea,Sergio Aguero & Ngolo Kante ndio wachezaji wenye sifa za kuwa World Class players pale England.
Liverpool fc imekuwa na wachezaji wengi wenye vipaji tena vipaji vya ajabu,niliandika wiki jana kuwa Mohammed Salah & Sadio Mane ni wachezaji wazuri wenye vipaji lakini bado si washindi.
Nilisema,binafsi ninaamini ili klabu itawale soka katika kipindi husika kwa kutwaa mataji mengi ni lazima i-recruit wachezaji washindi (winners),hasa klabu kubwa duniani kama Liverpool na Leo ninaongeza ni kweli inatakiwa iwe na Proven Goalkeeper,Proven Centreback,Proven Strickers & Bigger squad).
Liverpool fc wanakosa wachezaji ambao tayari wamesha-prove,wachezaji ambao ni washindi,wanajua jinsi ya kushinda na wamekuja kushinda,wenzetu wanasema Winners breed Wonders..Hakuna aliyesema Liverpool fc hawana timu nzuri lakini the discussion ni " calibre" yao.
Mfano,mechi kati ya Tottenham na Barcelona nilimuona mbrazil kinda Arthur Melo katika midfield lakini angalia Arthur anacheza alongside Sergio Busquet,Ivan Rakitic,Messi nk,,jiulize Confidence anayopata yule kijana,ukimkuta Arthur wa miaka mitano ni Xavi mpya,hiki ndicho wanachokosa Liverpool fc,wachezaji wote ni wakiwa,hakuna mshindi,tena wametoka timu ndogo zisizo na mategemeo ya ubingwa kama Virgil Van dijk kutoka Southampton,Sadio Mane kutoka Southampton au Roberto Firmino ambaye bado anajifunza namna na kutwaa mataji,je anajifunza kwa nani hapo Anfield?...Liverpool lack Winners na sioni nafasi kubwa kwao kutwaa taji wala kurudisha enzi zao.
Sina cha kukwambia zaid ya hikiK
Kwan eden hazard alitokea timu kubwa??? [emoji12]
By the way kama Salah sio world class player how comes anakuwa inclusively kwenye tuzo za fifa tena shortlisted?????????
Umetumia muda mwingi kuelezea ujinga tu you talk of consistency Hivi where the hell was eden hazard when mo Salah was hitting 31 goals?????????
Unapoteza muda bure unabishana na shabiki wa Arsenal hahahahahahahahahaK
Kwan eden hazard alitokea timu kubwa??? π
By the way kama Salah sio world class player how comes anakuwa inclusively kwenye tuzo za fifa tena shortlisted?????????
Umetumia muda mwingi kuelezea ujinga tu you talk of consistency Hivi where the hell was eden hazard when mo Salah was hitting 31 goals?????????
SORRY TO LIVERPOOL FC,HAYA NDIO MAJIBU YENU.
Baada ya wiki iliyopita kutoa mtazamo wangu kuhusu udhaifu wa Liverpool fc ambao ninaamini utakua ni kikwazo kikubwa kwa wao kurudisha zama zao na kutwaa mataji,kuna maoni na maswali mengi sana wengi walihoji,hasa mashabiki wa Liverpool fc.
Nimeamua niwajibu hivi,
EDEN HAZARD vs Mo SALAH
Jibu ni jepesi tu,Hazard is the World Class player but Salah is not.
Daima hauwezi kumlinganisha mchezaji aliyeisaidia timu yake kutwaa kila aina ya kombe isipokua Champions league (2 Epls,1europa league,FA & league cup) na mchezaji asiye na kikombe chochote katika ligi kubwa ulaya.
Kama ni tuzo binafsi,basi tuzo alizopata Salah msimu uliopita karibu 98% Hazard alishaanza kuzichukua zamani tu,so the answer is so simple.
LIVERPOOL FC HAINA "WORLD CLASS PLAYER"
Mwandishi wa gazeti LA the telegraph Chris Bascombe aliwahi kuelezea definition sahihi ya "world class player" japokua kumekua na discussions kuhusu hili.Katika makala yake aliyoiandika katika gazeti hilo Bascombe aliandika "World class player in football is that player in his/her position,He/She has a great consistency,outstanding consistency,outstanding quality & an ability to win a match for their side on a regular basis whether that from scoring memorable goals or producing defensive masterclass at the back".
Kwa maelezo hayo,Bascombe alihitimisha kwa kuandika Liverpool fc haina World class player.Bascombe kwa maoni yake anaamini Eden Hazard,David de Gea,Sergio Aguero & Ngolo Kante ndio wachezaji wenye sifa za kuwa World Class players pale England.
Liverpool fc imekuwa na wachezaji wengi wenye vipaji tena vipaji vya ajabu,niliandika wiki jana kuwa Mohammed Salah & Sadio Mane ni wachezaji wazuri wenye vipaji lakini bado si washindi.
Nilisema,binafsi ninaamini ili klabu itawale soka katika kipindi husika kwa kutwaa mataji mengi ni lazima i-recruit wachezaji washindi (winners),hasa klabu kubwa duniani kama Liverpool na Leo ninaongeza ni kweli inatakiwa iwe na Proven Goalkeeper,Proven Centreback,Proven Strickers & Bigger squad).
Liverpool fc wanakosa wachezaji ambao tayari wamesha-prove,wachezaji ambao ni washindi,wanajua jinsi ya kushinda na wamekuja kushinda,wenzetu wanasema Winners breed Wonders..Hakuna aliyesema Liverpool fc hawana timu nzuri lakini the discussion ni " calibre" yao.
Mfano,mechi kati ya Tottenham na Barcelona nilimuona mbrazil kinda Arthur Melo katika midfield lakini angalia Arthur anacheza alongside Sergio Busquet,Ivan Rakitic,Messi nk,,jiulize Confidence anayopata yule kijana,ukimkuta Arthur wa miaka mitano ni Xavi mpya,hiki ndicho wanachokosa Liverpool fc,wachezaji wote ni wakiwa,hakuna mshindi,tena wametoka timu ndogo zisizo na mategemeo ya ubingwa kama Virgil Van dijk kutoka Southampton,Sadio Mane kutoka Southampton au Roberto Firmino ambaye bado anajifunza namna na kutwaa mataji,je anajifunza kwa nani hapo Anfield?...Liverpool lack Winners na sioni nafasi kubwa kwao kutwaa taji wala kurudisha enzi zao.
π π π π aisee chalii from the definition of yours last season game ngapi ziliamuliwa na mo???Sina cha kukwambia zaid ya hiki
"world class player" japokua kumekua na discussions kuhusu hili.Katika makala yake aliyoiandika katika gazeti hilo Bascombe aliandika "World class player in football is that player in his/her position,He/She has a great consistency,outstanding consistency,outstanding quality & an ability to win a match for their side on a regular basis whether that from scoring memorable goals or producing defensive masterclass at the back".
How about this season?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aisee chalii from the definition of yours last season game ngapi ziliamuliwa na mo???
What happened in Kiev??????
Sina cha kukwambia zaid ya hiki